Primus, Single mpya ya kuitangaza bia ya Primus toka kwa JB Mpiana.

 

Primus ni Aina ya Bia ambayo ni maarufu sana kwa Congo DRC, hawa ni moja ya wadhamini na wafadhili wakubwa wa JB Mpiana, ndio wanaodhamini show nyingi za Papa Cherie the Charismatique Leader.

Kiukweli hii Single ni nzuri sana hatuongelei ushabiki hapa, sikiliza Solo na jinsi Gentamacine alivyoghani humu ndani.

Utasikia humu pia anarushwa sana Moisse Katumbi Chapwe Baba nyuma ya Soka ya Congo, Rais na mfadhili mkuu wa TP Mazembe na timu ya Taifa.

Style aliyotumia humu ni Mpunda Style ambayo inatamba kwa sasa huko Congo.

Pia utaona kuna gari wadada wanaifuta humo, hii ni gari mpya ya JB Mpiana ambayo pia imeleta maneno wengine wakisema alizawadiwa toka kwa Rais Danis Sasou Ngueso ambaye ni shabiki mkubwa wa JB Mpiana, Pia wanasema ZK, Zadio Congolo Le Femitive naye anamkono humo, ila mwenyewe anasema amenunua kwa pesa yake, ndio faida ya umaarufu kila kitu kinasemwa.

Angalia na wewe unipe maoni yako.

Advertisements

5 Responses to Primus, Single mpya ya kuitangaza bia ya Primus toka kwa JB Mpiana.

 1. Hadj le Jbnique says:

  GONGA HAPA UWASIKIE MA BEST WA ZAMANI JB na WERRA WAKIKAMUA KWA PAMOJA KUIPA SHAVU PRIMUS…..SI VIBAYA UKITOA TATHMINI YAKO AT YOUR OWN TIME NANI HAPA KAMFUNIKA MWENZAKE?MIMI NASEMA JB,WE JE?

 2. Anonymous says:

  kaka gita kapiga pato soloo sio gentramacine mtoto mpya wa jb kaka noma chechenko anamwita….primus

 3. piusmickys says:

  Soma vizuri nimesema sikiliza solo na jinsi Gentamacine alivyo ghani, ghani ni atalakuu.

  Thanx

 4. Stivin says:

  How can you compare Werra wakati wanaimba kwa sauti tofauti? kwangu mimi Werra ni sawa na Pepe Kale na JB sawa na Papy Tex, hawanani sauti but Pepe kale Alikuwa juu, Jibu unalo.

 5. Hadj le Jbnique says:

  ELEZEA HAPO KWENYE HIYO PROMO YA PRIMUS,NANI KAMFUNIKA MWENZIE?ACHA KURUKA RUKA….ZUNGUMZIA HUO WOMBO HAPO ILI KILA MTU AKUSIKIE KAMA KWELI WEWE NI MTU WA MUZIKI AU NI MTU WA WERRA TU BASI.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: