Rota alipotawazwa Kinara wa Serengeti Free Style Morogoro.


 

Ni kijana wa makamo hivi ambaye alionyesha kipaji cha kufreestyle kwa kiwango cha juu kabisa, anaitwa Rota Flavian Komba ndiye aliyeibuka kinara wa msimu wa dhahabu wa unaoendelea na Serengeti Fiesta Freestyle 2011 ndani ya mji wa Morogoro jana jioni. Kufuatia ushindi huo Rotas atakwenda jijini Dar kupambana na vinara wengine kutoka mikoa mingine katika mpango mzima wa kutimiza kilele cha msimu wa dhahabu na Serengeti Fiesta 2011 ndani ya jiji la Dar,itakayofanyika hapo baadaye.

 

Kwa pamoja wakilianzisha.

Jaji wa shindano la Serengeti fiesta freestyle 20011 ndani ya mji wa Morogoro,Chief Rhamson a.k.a Zavara akifafanua jambo kwa Dj Fetty kabla ya mchakat.  Kwa habari na Picha Zaidi Bofya hapa kwa Abdallah Mrisho.

Advertisements

One Response to Rota alipotawazwa Kinara wa Serengeti Free Style Morogoro.

  1. I’ve bookmark your website as well as add rss.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: