Chantal Switzerland; Ilikuwa nyimbo bora ya mwaka toka kwa Werrason.

Katika Albam ambazo nazikubali kwa WMMM ni hii ya Force de intervetion rapide ambayo ni mfululizo wa Albamu za Werrason tangu kipindi wameachana na JB Mpiana.

Wimbo huu unapatikana katika Albamu hiyo na uliwahi kuwa Wimbo bora kwa mwaka huo, Wataalamu wa Muziki wanasema Werasson alipiga muziki huu kipindi ana timu bora zaidi ndani yake.

Hii ni kati ya rekodi za Werasson ambazo nazikubali sana na Album nyingine ni Kibuisa Mpipa, ingawa zote hizi mi binafsi nina sababu zangu za kuzikubali ikiwemo hii ya mpangilio wa Muziki na bado alikuwa hajawa na identity yake mwenyewe, hapa alikuwa akipiga muziki ule ule wa Wenge Musica BCBG.

Siongelei kishabiki lakini ukweli unabaki pale pale, wimbo huu ni mzuri.

Ijumaa Kareem wasomaji wangu.

3 Responses to Chantal Switzerland; Ilikuwa nyimbo bora ya mwaka toka kwa Werrason.

  1. Stivin says:

    Huo ndo wimbo uliomtoa FERRE!

  2. Jordan says:

    Ni kweli huu wimbo mkali sana na mi nauhusudu ila nimeona Papaa we ni JB ndani umetajwa sana hahahaha

  3. Reasonably specified he’ll possess a fantastic go through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: