Namna Mbwana Ali Samata alivyopokelewa TP Mazembe.


TAJIRI WA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIMUITA MBWANA SAMATTA KUMTAMBULISHA RASMI KWA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU HIYO.

MBWANA ALI SAMATTA AKIMWAGA SPECH KWA MASHABIKI WA TP MAZEMBE.

MBWANA ALI SAMATTA AKIWASILI UWANJANI KWA ULINZI MKALI.

RAISI WA TIMU YA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIWASILI UWANJANI KUMTAMBULISHA SAMATTA KWA MASHABIKI WA TIMU HIYO.

Picha na Habari na Shafii Blog.

Advertisements

17 Responses to Namna Mbwana Ali Samata alivyopokelewa TP Mazembe.

 1. Hussein Mohamed says:

  shafii nimekukubali,naomba picha za ngasa huko marekani

 2. Laurent Ivo says:

  Nimependa namna unavyofanya kazi nzuri ya kutuelezea na pia kutuonyesha nn kinafanyika ktk michezo. Big up n keep it up

 3. Cheche kama hizo zinatakiwa zifanyike hata kwa simba na yanga zinamtia morali mchezaji na kujiona kama hiyo ndiyo kazi yake kama kazi zingine.

 4. MNANA AYOUB ABOU says:

  Brother shafii nakukubali sana katika swala zima la uchambuzi wa soka na hata pale unapokuwa haupo katika sports extra ya clouds fm huwa sijiskii rahaa kwa vile unapo kuwepo unanikosha sana.
  Na kuhusu hili swala la dan mrwanda ningependa kuliingilia kati kaka. Unajua hawa TFF wanapokuwa hawana sababu ya kujitetea juu ya swala zima la timu yetu ya taifa huwa wanatafuta sababu ya kukwepa lawama na kumtafuta mchawi na wakati wachawi ni wao wenyewe, sasa wanatafuta njia ya kujikosha kutokana na matokeo mabovu ya stars na hii yote nikutudanganya wa tz kuwa sababu za kushindwa ktk mechi ni kutokuwepo kambini kwa mchezaji mmoja, huu ni udanganyifu, Na kama walikuwa wana nia ya kushinda wapo wachezaji wengi ambao wangeweza kucheza na hawakuitwa ktk timu hiyo mfano HARUNA MOSHI, SHOMARI KAPOMBE na SAID MORADI anawiva sana akisimama na AGREY MORIS pale nyuma. Tatizo wanashindwa kumkosoa huyo kocha kwa uteuzi wake mbaya wa timu. Wao wanakazi moja tu ya kuangalia mapato ktkt mechi za SIMBA na YANGA.
  Au kama wanahisi makocha wakigeni hawawezi kuwakosoa basi wa watumie makocha wazawa. Isitoshe wanahistoria nzuri na stars kuliko hao wageni wanaolipwa mapesa kibao.
  Watuachie hiyo timu yetu tuchague wenyewe wa kuifundisha na hao TFF ndio wanafanya mpaka leo hii tunashuka katika viwngo vya soka duniani. Waondoke hao. Ni bora tumpe hata MBWIGA WAMBWIGUKE urais wa TFF kwani anajua historia ya timu zetu.
  Ni hayo kaka kwa leo yanatosha.

 5. Donatus george says:

  Jamani kama mpira unaendana na umri mbona gigs achoki tujitahidi kuwapa support kilimanjaro stars kwan ipo siku tutafanikiwa kama wenzetu waliokwisha fanikiwa

 6. Nyankaiba Charles says:

  Kaka shafii naomba kipindi chaleo cha sportsextra utuambie jicho la Vilas boas linaonaje dirishadogo usajili maana timu yetu inakoelekea sikuzuri.me nipo Mwenge sekondari Singida

 7. Nyankaiba Charles says:

  Kaka unajua kazi

 8. Anonymous says:

  Kiukweli kaka Shafii na jopo lako zima la sport extra mnanipa kile kitu ambacho mpenda michezo yoyote anakipenda.BIG UP

 9. Anonymous says:

  Do unatsha bro shafi

 10. Said Kambi says:

  mi naomba kuuliza hawa vodacom na TFF WANA AJENDA GANI NA HII LEAGUE YETU SABABU WAO NDIO WANAHARIBU LEAGUE YA KWETU TANZANIA

 11. unajua soka letu halina wachezaji professional wa kutosha hao wakina samatta,ulimwengu,kapombe na kazimoto waongezeke

 12. casino game says:

  casino game

  Namna Mbwana Ali Samata alivyopokelewa TP Mazembe. | Spoti na Starehe

 13. We absolutely love your blog and find nearly all of your post’s to be what precisely I’m looking for. can you offer guest writers to write content available for you? I wouldn’t mind writing a post or elaborating on a number of the subjects you write about here. Again, awesome website!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: