Miss Universe waingia Kambini

Mratibu wa Miss Universe Mariah Sarungi akiongea na washiriki wa shindano la Miss Universe mara baada ya washiriki hao kuingia kambini katika hotel ya Golden Tulip hapo jana, hii ni baada ya waandilizi hao kutembelea mikoani na kukusanya wasichana wenye vigezo kwa ajili ya shindano hilo linalotazamiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu huku likishirikisha warembo 20.

 

Baadhi wa washiriki wakisoma makablasha yenye kanuni na sheria za shindano hilo, picha zote na Issa Michuzi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: