Badi Bakule Afunguka ndani ya Mama Land na Malkia Sophia Kessy.

Kwa waliokuwa wanaijua Mchinga Sound wanamkumbuka, waliomuona TOT wanamkumbuka, kuna Bendi nyingi ameshaimbia, Anaitwa Jogoo la Shamba Badi Bakule, kwa sasa yuko wapi na anafanya nini ungana na Malkia Sophia Kessy wa Mamaland kuujua ukweli.

Advertisements

2 Responses to Badi Bakule Afunguka ndani ya Mama Land na Malkia Sophia Kessy.

  1. EDMAS says:

    KWA TAARIFA YAKO, BADI BAKULE HAJAWAHI KUIMBIA MCHINGA SOUND.

    AMEIMBIA TAM TAM (AFRICAN REVOLUTION) NA TOT

  2. fred opondo says:

    kweli kabisa badi bakule hajawahi kuimba mchinga sound.
    badi alikua sayari band hapa nairobi badae wakaunda sky sound band wakiwa mombasa na mumini mwinjuma,amina ngaluma,miki [ mindadi ] drama boy, rashidi sumuni,osman majuto, rashid mwinzingo. badae akajiunga na tam tam african revolution dar-esalam tz. na sasa uko tot respect. mimi ni fredi opondo nikiwa hapa nairobi kenya

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: