Gari ya Bob Marley

Gari ya Bob Marley

Gari ya Bob Marley

Pichani ni moja kati ya kumbukumbu za vifaa vya Nguli wa Muziki wa Reggae duniani hayato Bob Marley. GAri hili aina ya Land Rover likiwa limehifadhiwa kwa ajili ya wale wanaotembelea kuona na kujua historia ya mwanamuziki hayati Bob Marley huko Kingston Jamaica. 

Advertisements

16 Responses to Gari ya Bob Marley

 1. Ndabwa says:

  Duh mfupa huu, ukiupaka mchuzi jibwa haliachi si mchezo
  Enzi hizo kama Benz hii

 2. Nsia says:

  Waw!! Memory nzuri sana mzee mzima ndio alikuwa ana tanua na mchuma huu
  Swafiiiiiiiiiiiiiiii

 3. frank b says:

  Hiyo isipigwe mnada wala nini ikae hapohapo mpaka ipoteze rangi yake hapohapo ilipo
  kali kinyama!!!!

 4. J Ngowi says:

  Bob hakuwa mtu wa makuu hiyo kwkake ilimtosha sana katika harakati zzake wanamuziki wa sasa na wanaharakati wanatakiwa waige bob

 5. roy kimei says:

  gari hili liitumiwa na wailers mwishoni mwa miaka ya sitini. kwa aliyewahi kukisoma kitabu ‘ Reggae bloodlines’ atakumbuka picha ya mwanamuziki bunny wailer akiwa kaegemea gari hii. hata hivyo mnamo mwaka 1974 bob alinunua bmw bavaria silver metallic. na baadae kwenye mwaka 1980 alikua akitumia jeep.

 6. Anonymous says:

  Bon ge ya kumbux2

 7. Anonymous says:

  Bob marley

 8. Masaba says:

  Mie namfagilia kwa kutetea waafrica

 9. Yasini says:

  Nini tunajifunza kwa bob marley

 10. habil mapunda says:

  hacheni kumbukumbu ya jah mkiuza najitoa muanga

 11. Anonymous says:

  da kweli hi yaukwel haina ubish kwa sasahv nikama marcedisebense kabisa

 12. damian N says:

  Babby alikua mtata sana kivie

 13. gidion says:

  nampenda sana Bob Mary napenda nyimbozake I love bob

 14. Hi there! This is my first visit to your blog! We are a team of volunteers and starting a new project in a community in the same niche. Your blog provided us beneficial information to work on. You have done a wonderful job!

 15. I’m really loving the theme/design of your website. Do you ever run into any web browser compatibility problems? A couple of my blog audience have complained about my blog not operating correctly in Explorer but looks great in Firefox. Do you have any advice to help fix this issue?

 16. Appreciating the hard work you put into your site and detailed information you provide. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed material. Fantastic read! I’ve saved your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: