Congo – Koffi Olomide – Skol Mandramada

Soko la muziki wa Congo ni gumu sana tofauti na hali ilivyo kwa nchi kama ya kwetu. Watu wanaujua muziki na wanasikiliza vitu vingi, mpaka ukubalike na utambe kwenye soko la Muziki wa Congo ni lazima wewe ni kichwa cha haja tuu.

Koffi Olomide amekuwa juu kwenye muziki wa Congo tangu alipovuka miaka ya 80 hadi wa leo. Wimbo huu umepigwa na Koffi ikiwa ni asante yake kwa udhamini alioupata toka kwenye Kinywaji hiki na ni Tangazo la promotion ya Bia aina ya Skol.

Wimbo huu ulipigiwa kelele huku wanamuziki wakilaumiwa na jamii kuwa wanatangaza Pombe ambapo kama wanakuwa wanahimiza mashabiki wao wanywe zaidi.

Siwezi kusema lolote labda na we una mchango kwenye hilo, Pata kitu.

5 Responses to Congo – Koffi Olomide – Skol Mandramada

 1. sophia kessy says:

  ukweli ni kuwa kaka muziki wa kongo haukubaliki kabisa na kingine ni kuwa wanauwezo wakufanya mambo ukisikia kwa makini matangazo yetu ya pombe utaona tofauti sana na matangazo zao ndio maana unaona nyimbo kama zao zikitoka hijalishi nitangazo wala nini watu wanacheza na linanoga kweli maana kama ni sebene la ukweli ndio maana nasema hata mafanikio yanaonekana ya makampuni makubwa ya pombe angalia scoll, primus na mengineyo hata heineken kongo ni tofauti kabisa na hapa kaka wacha wakongo waitwe wakongo

 2. sadiki tiger says:

  Dada nakuomba utafute ile kitu yenyewe ya Skol ya Mzee Werra inaitwa Skol Tindika Lokito.
  Sebene yake ni ya kufa mtu Dada yaani wacha Werra naye aitwe Werra !

  Kongo ni nyumbani kwetu sote hii mipaka waliyoweka Wazungu wala isituyumbishe.

  Ninyi mna mchango mkubwa sana wa kupigana hii vita dhidi ya Muziki wa Magharibi kupitia vyombo na nafasi zenu.

  Akhasante.

 3. Admiring the time and energy you put into your website and detailed information you offer. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed information. Wonderful read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

 4. Wonderful details, outstanding and beneficial style and design, as share good stuff with great strategies and ideas.

 5. lots of terrific facts and inspiration, both of which I want, because of give such a beneficial facts right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: