Lola Mwana kurejea Zaiko Langalanga

Lola Mwana "Digital"

Lola Mwana “Digital” yule mtoto wa marehemu Dindo Yogo ameomba radhi kwa kile alikosea na kumfanya afukuzwe bendi ya Zaiko Langalanga.

Awali Lola ambaye alifukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwa kuchelewa kwenye Concert na pia kuchelewa mazoezini na wakati mwingine hafiki kabisa jambao lililomuudhi sana kiongozi Nyoka Longa.

Lola ambaye aliripotiwa na magazeti na Blogs mbali mbali kwa nyakati tofauti alitoa maneno ya kashfa dhidi ya kiongozi Nyoka Longa na kwa sasa ameyaombea radhi maneno hayo na inasemekana atarejeshwa kundini.

Kwa sasa Zaiko wanajiandaa kutoa Nyimbo zao nne ambazo zitakuwa kwenye albamu itakayoitwa Bande annonce.

Wikii hii ya Passaka Zaiko watakuwa na Show tatu nchini Afrika ya Kusini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: