Kuna anayejua anakopatikana dada huyu?

Ni Video ambayo ime heat sana kwenye mitandao, blogs na hata facebook, majuzi nilitumiwa link hii na jamaa toka South Africa.

Hii link ya Video nimetumiwa na jamaa wako South Africa ni watengeneza matangazo. Wametaka niwatafutie anakopatikana huyu binti, wanachojua ni Mtanzania.

Hawajaniambia wanamtaka kwa ajili ya nini ila nahisi wanataka kumpa shavu la Tangazo, tafadhali wadau kama kuna anayejua jinsi ya kumpata huyu binti tuwasiliane apate rizki yake.

Advertisements

5 Responses to Kuna anayejua anakopatikana dada huyu?

 1. piusmickys says:

  Kwa uzoefu wangu wa Safari hii itakuwa ni Morogoro lakini sijui ni sehemu gani, wadau wa huko tupeni mji tafadhali.

 2. farid from muscat says:

  http://www.facebook.com/people/Nazirdost-Mohamed/761674600

  hapo juu hio ni link ya jamaa yupo kwenye facebook yeye anaweza akawaelekeza vipi mumtafute dada huyo maana aliepiga clip hio nadhani atakua anamkhusu kwa hio jaribuni kumuuliza, yeye ni mtu mzuri anaishi dubai

 3. Imran says:

  Unaweza ukamuliza huyu jama pia, http://www.facebook.com/ahmedbsa85

  Ahmed yuko malaysia, inawezekana hata Pius unamjua pia maana alikuwa akija mitaa yako ya damansara.
  Nilipoiona hii video mara ya kwanza kwenye facebook, huyu ahmed alicomment kuwa anamjua yule jamaa aliyechukuwa hii video.

 4. piusmickys says:

  Asante Kaka jamaa wamempata nimewatumiamaswali wakijibu nije na story kamili labda dada yetu atatoka. Kuna mdau naye walimtumia awasaidie kumtafuta wanasema wamempata.

  Asante.

 5. Anonymous says:

  hiki ni kipaji kwa kweli, huyu binti anatakiwa apate tu watu wa kumtoa, kaka Pius unaweza ukamsaidia pia akatoka na kuitangaza nchi, huyu ni hazina akipata muongozo atakuwa mbali mno huyu binti. natamani ningekuwa na uwezo wa kumsaidia binti mwenzangu sema sina uwezo. imagine akivaa jezi na viatu vya michezo atafanya maajabu gani, hapo sketi ndefu inamnyima uhuru but still anafanya mambo, big up young lady. tukimtangaza zaidi atatoka tu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: