Koffi Amzawadia Baba Mkwe Jaguar Mpya!!

Kwa muda mrefu kumekua na minong’ono kuhusu mahusiono ya mtoto mdogo lakini mzuri sana Cindy Le Coeur na Bosi wake Koffy Olomide a.k.a. Papaa na Didi Stone,uhusiano wa wawili hao umeonekana kuwa ni wa zaidi ya mtu na bosi wake,hatimaye mzee mzima koffy ameamua kufunguka na kuweka mambo yake na Cindy hadharani.
Baba Mkwe akiwa ndani ya mchuma

Kuonyesha kwamba yuko serious this time koffy ameamua kumpa zawadi baba mkwe, Baba mzazi wa Cindy….unaweza ku guess ni zawadi gani? Wala usipate taabu kwa kuwa tunakupenda sana hatutaki uumize kichwa gonga hapo kwenye video juu ujionee mwenyewe video nzima ya hafla hiyo “ndogo” lakini iliyopendeza sana, uone jeuri ya pesa ya Le Rambow Du Zaire Koffy Mopao Olomide, mzee mzima anatoa kitu cha Jaguar kwa mzee hivi hivi kwa mzee ikiwa ni zawadi ya kumzalia mtoto mzuri.

Koffi alifanya haya akiwa ndani ya Concert na ghafla ikatangazwa, sina hakika sana lakini nadhani anayetangaza ni Zakarie Bababaswe.

Jamani kuzaa kuzuri tena hasa mtoto wa kike,nashangaa watu wanaogombana na wake zao kwa kuwazalia watoto wa kike,check hapo mzee alivyofurahi.

Mamaa Cindy Olomide
Kumbuka kuwa chini ya kila Post kuna burton imeandikwa SHARE ukiweka mouse inakupa njia mbali mbali za ku share na marafiki wa facebook na kwingineko!!
Advertisements

26 Responses to Koffi Amzawadia Baba Mkwe Jaguar Mpya!!

 1. Hadj le Jbnique says:

  koffi na cindy wake ndani ya paris,hapo utaona wakifanya promo kwa ajili ya big show ndani ya zenith,mzee mzima kweli kakolea kwa mtoto,hata

  Hapa koffi na QL yake wakiwasili airport paris kwa ajili ya show hiyo,yote hii ni kwa ajili ya promotion ya show,ndio maana mnaona watu huwa wanajaa ukumbini,wanapromote sana,mapokezi yote haya yalikua live kwenye tv zinazomilikiwa na wacongoman huko paris na belgium,

 2. Hadj le Jbnique says:

  HAPA NI MAMBO YA BIBICIA KWENYE SHOW HIYO YA ZENITH

 3. Mbando says:

  Mukulu Pius Elengiiiiiiii!
  kinachonifurahisha kwenye Blog yako ni kuwa napata vitu vya kubishania kaka uko juu unanipa vitu ambavyo siwezi kusoma bulogu yeyote kaka. usibadili ndio mambo tunayotaka kusoma sisi.
  Mukulu uko juu kama Mabutu

 4. fadhili says:

  VOILA!!CINDY C’est jolie,acha mzee muzima apagawe,eleeengiii1!!

 5. […] Cindy ndipo Koffi alipovunja ukimya na pale alipomzawadia gari aina ya Jaguar baba yake na Cindy (Gonga hapa kuisoma) na mpaka wa leo Cindy ambaye anakuja kwa kasi kwenye wanamuziki wa kike na amejizolea umaarufu kwa […]

 6. Hassan j says:

  Dunia mapito maskini hakujua yanamwisho

 7. Halima says:

  Daah inapendeza sana na wengin waige mfano

 8. koffi balaa ana faranga huyu bwana,japo mie mtu wa jbmpiana

 9. to lulu and her pa’s it’s so sad,let’s waitin’ 4 mahakama’s rule.

 10. erasmo says:

  Baba mkwe kafurahi,hakutegemea One day ataendesha Jaguafa

 11. Dannysighis says:

  Nimpa pole xana Lulu na mshauri ajiepushe na vyombo habari kwa kipindi hk kigumu kwako…. Kwa wale walioto matuc haipendezi ha2jue yetu pia.

 12. IDD SAID MIKUY says:

  MAMBO VIPI WATU WANGU MBONA VING’AMUZI VINAZINGUWA

 13. namshauri lulu ajiepushe na skendo chafu kwa sasa

 14. uzuri wake usimponze hataangukiapu kwa ajisafishe by dissi nyabende

 15. Anonymous says:

  Naitaji Kuona Nakujuwa Yakwakemaneno Yamwisho

 16. Anonymous says:

  naitwa judith msuya nimezaliwa 24_11-1989 Kabila mpare@judith msuya@

 17. Anonymous says:

  WAKO POWA ITS ME AZADI ARUSHA 0758178759

 18. Anonymous says:

  inabidi tujifuze

 19. Anonymous says:

  Nikweli,kanumba Alikuwa,mpenz Walulu

 20. Exceptional post however I was wondering if you could write a litte more on this subject? I’d be very grateful if you could elaborate a little bit further. Thanks!

 21. I am really enjoying the theme/design of your web site. Do you ever run into any web browser compatibility problems? A small number of my blog visitors have complained about my site not operating correctly in Explorer but looks great in Firefox. Do you have any tips to help fix this problem?

 22. Appreciating the hard work you put into your website and in depth information you offer. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed material. Great read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: