Wenge Wamzika babaake Werrason.

Mazishi ya baba yake Le Roi De la Forret Werrason yaliyofanyika hivi majuzi katika jiji la Kinshasa yalihudhuriwa na wanamuziki wote wa aliyokuwa wenge musica 4×4 Tout Terrain(wenge original)ambao wako Kinshasa japo si rahisi kuwaona wote waliohudhuria hapo kwenye video iliyo kwenye link hapo chini kutokana na ubora hafifu wa video yenyewe lakini wote wakiongozwa na JB Mpiana walihudhuria.JB Mpiana alikwenda mbali zaidi kuonyesha kuguswa na msiba huo uliompata kaka yake kuondokewa na baba yake.JB alikua na concert ambayo ilikwisha lipiwa gharama zote,lakini ili ku show love kwa brother wake WERRA DE LA FORRET,Mzee mzima akaamua kuahirisha concert hiyo ili kumfariji Le PHENOMENA WERRASON.Hiki ni kielelezo tosha kwamba JB na WERRA bado ni ndugu moja ndio maana watoto wa JB kina DAIDA,SURAYA na mdogo wao wa kiume JUNIOR MPIANA wanaendelea kumwita WERRA papa(baba)na wa WERRA kina EXOCEE na mdogo wake nao wanamwita JB papa,so jamaa bado wandugu japo mbele za watu wanataka waonekana kama maadui kwa sababu za kibiashara zaidi ili wapenzi wao washindane kuzisupport kazi zao!

Wanamuziki wengine walioshiriki kumzika baba yake WERRA ni hawa vijana wa kizazi kipya,Kwenye video hiyo utawaona kina JDT,FERRE GOLA,DD LACOSTE na Hata BILL CLINTON aliwakosha wengi kwa kuweka tofauti zake na bosi wake wa zamani WERRASON na kushow love kwa style ya aina yake alipokuwa akimpa mkono wa pole,style yake iliwagusa wengi has kutokana na uhusiano mbaya baina ya wawili hao toka BILL alipomkimbia jamaa,ukiitazama video hii unaweza kudhani jamaa hawana ugomvi wowote na bado wako pamoja.

Pia wanaonekana mabinti wa WERRA na mama yao SYLVIE MAMPATA.

Advertisements

2 Responses to Wenge Wamzika babaake Werrason.

  1. Pretty section of content. I just stumbled upon your site and
    in accession capital to assert that I acquire
    in fact enjoyed account your blog posts. Any way I’ll be subscribing to your feeds and even I achievement you access consistently quickly.

  2. Relatively specific he will have a very good go through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: