Salamu za FALLY IPUPA na FERRE GOLA toka WENGE BCBG.

Tuitazame video hiyo hapo chini kwa makini,hizo mimi binafsi naziita ni salamu kwa Ferre na Fally pamoja na Ma Ipupanaises na Ma Ferrettes wote mliopo humu ndani, JB anamtoa kijana huyu anaitwa ERIC MENTHE aje kushughulika na vijana wenzake Fally na Ferre wakati yeye mzee mzima JB Mukubwa akishughulika na LE ROI DE LA FORRET WERRASON, kijana hapa anaonekana akifunika vilivyo na kitu chake cha congo rhumba kinachokwenda kwa jina la MY LOVE, Kibao hiki kipo kwenye album mpya ya wenge Bcbg inayokwenda kwa jina la SAYONS SERIEUX, Sikia sauti ya dogo Eric Menthe Hapo halafu utaelewa kwa nini nilisema hizi ni salamu za Fally na Ferre,wakae chonjo dogo anakuja vibaya………na Kwa ambao wamekua wakisema JB hajamtoa mtu wamsikilize kijana huyu pamoja na sakoko kwenye Kitu LIBEREE….

Pata mzigo huu…kama kawaida tunacheza taratibu eeeeeh!

Advertisements

6 Responses to Salamu za FALLY IPUPA na FERRE GOLA toka WENGE BCBG.

 1. Stivin says:

  Naona Mpiana amakuwa sasa! zamani alikuwa hataki vijana wenye uwezo wa kumfunika! huyu dogo no noma!

 2. Hadj le Jbnique says:

  Binadamu huwa hawakosi cha kusema…anywayz bwana kijana “ERIKE” ndio huyo..

 3. Hadj le Jbnique says:

  Binadamu huwa hawakosi cha kusema…anywayz bwana kijana “ERIKE” ndio huyo..Nimeipenda video,imekaa sawa.

  Mnaoisubiri Malewa 2,msikieni jamaa yenu hapo chini anachowaeleza kuhusiana na hiyo project,hiyo ilikua ni exlussive interview iliyofanyika siku chache zilizopita ndani ya Paris,jamaa anaongea huyu!maneno meeeegi..Kwa msioelewa lingala nendeni moja kwa moja kwenye interview ya pili,hapo kuna music,solo la Heritier liko juu kinoma hapo…nimelikubali nampa Big up mchizi.

  http://congomikili.com/exclusivite-2-heures-d-interview-avec-le-phenomene-werrason-les-4-verites.html

 4. michael says:

  jamani huko congo nani anatisha saivi?

 5. Veda Liceaga says:

  I think that is an informative publish and it can be experienced and incredibly beneficial. I’d like to thank you for your efforts you have produced in writing this article.

 6. Janae Rong says:

  When I considered about items like: why this kind of data is at no cost here? If you create a book then at the very least on offering a book you will get a percentage, since. Thank you and excellent luck on informing people more about it.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: