Wasanii kukipiga na Wabunge!

Wasanii wa Bongo Filamu watinga MjengoniMasupastaa wa filamu nchini Tanzania wakiongozwa na muigizaji Jacob Steven maarufu kama JB walishiriki kipindi cha maswali na majibu cha mkutano wa tatu kikao sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Wasanii hao ambao walikuwa wageni wa klabu ya mikchezo ya Bunge,walitambulishwa kwa wabunge na spika Anne Makinda ambaye alisema kuwa wasanii hao wamefika bungeni kueneza ujumbe wa amani.
Spika Makinda aliwashukuru wasanii hao kwa nia yao njema na kuwakaribisha Bungeni.
Kundi hilo la Wasanii linalotengeneza timy ya mpira watakipiga na wabunge hivi karibuni.
Soma zaidi toka kwa Lukwangile
Advertisements

3 Responses to Wasanii kukipiga na Wabunge!

  1. Anonymous says:

    wamefanya jambo la maana kuhuthuria bunge hilo

  2. I want you to thank to your time of this great go through!

  3. Fairly specific he will possess a good go through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: