Moise Katumbi; A Man Behind TP Mazembe

Mh. Gavana Moise Katumbi

 

Anaitwa Moïse Katumbi Chapwe alizaliwa 28 December 1964)Ni Mfanyabiashara na mwanasiasa.

Moise Katumbi ni mheshimiwa Gavana wa jimbo la  Katangaambalo liko kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo. Huyu ni Gavana wa kwanza wa kuchagukliwa na wakati anakuwa Gavana alikuwa na umri wa miaka 42 tu.

Katumbi ni mdogo wake Raphael Katebe Katoto, mfanyabiashara mkubwa wa Kongo ambaye anaishi Ubelgiji ( Belgium).

Moise pamoja na biashara nyingine anamiliki kampuni ya uchimbaji madini  Africo Resources, Ltd ambapo ana shea kubwa humo.

Katumbi anakubalika sana kwa watu wake kwa maendeleo na jinsi alivyoleta mageuzi na utulivu. Akiwa na asili ya mchanganyiko Baba ni Myahudi anaitwa Nissim Soriano, Huyu ni mmoja wa Wayahudi wengi waliolowea Congo kutoka visiwa vya Rhodes, Lakini mama yake ni raia wa Congo.

Katumbi anachukuliwa kama mfano wa kuigwa kwani akiwa na miaka 13 anasema hapo ndipo alipoanza kutengeneza pesa kwa kuuza samaki8 na faida yake ya kwanza ilikuwa kama dola 40$. toka hapo aliendelea mpaka alivyo ssasa.

Jimbo lake la Katanga kwa sasa linamaendeleo likiwa na miradi mikubwa ambapo ameweza kuvutia hata wawekezaji toka USA na Europe ambapo wamewekeza vya kutosha.

 Alichaguliwa Gavana wa Katanga mwaka 2007, baada ya ya kuchaguliwa Moise Katumbi alihakikisha na kusimamisha usafirishaji wa Coper Ore ambapo aliwalazimisha wachimbaji kujenga viwanda ili kutengeneza ajira, na viwanda vya kusindika ore kuwa chuma vikajengwa jimboni kote.

Katumbi pia alilazimisha wawekezaji wote kwenye sekta ya madini kulima angalao hekari 500 za mahindi namazao mengine ya kuchakula kwa ajili ya kuchangia chakula kwa jamii jambo ambalo limetoa kilio cha njaa na kutoa ajira pia kwa wakazi wa vijijini. Si hivyo tu bali pia makampuni haya kwa kushirikiana na uongozi wa Jimbo serikali iliyochini yake wanamikakati ya kufufua ufuaji mkubwa wa umeme kwa ajili ya kutumika na makampuni makubwa ya uwezaji jimboni humo.

Katumbi binafsi amekuwa chachu ya maendeleo kwa kuchangia miradi ya maendeleo kama shule, maospitali, visima vya maji safi na michezo huku akiwa ndio mfadhili namdhamini mkuu wa kiboko ya Simba TOUT POISSANT MAZEMBEE ENGLEBERT ambayo jana imeitoa kamasi Klabu ya Simba kwa kuichabanga mabao 3-2 na kuifungasha virago.

Fuatilia hapa hapa nitakujuza ushiriki wake kwenye TP Mazembe.

9 Responses to Moise Katumbi; A Man Behind TP Mazembe

 1. Hadj le Jbnique says:

  Le Honoramble MOISE KATUMBI CHAPWE PRESIDAA DE LE DOUBLE CHAMPION D’AFRIQUE TOUT POISSANT MAZEMBEE ENGLEBERT,Le wengee bcbg die hard fan!

 2. Hadj le Jbnique says:

  Huu ni mfano tu wa maisha bora wanayopata wachezaji wa TP MAZEMBE toka kwa Le Honorable MOISE KATUMBI CHAPWE,Je wataacha kucheza vizuri bandugu?Haya ni makazi ya “mungu wa congo” kama wenyewe wanavyomuita kutokana na mchango wake uliootukuka kwa TP MAZEMBE na Kwa timu ya taifa ya congo “LEOPA CONGOLEE” Huyu si mwingine bali ni TRESSOR MPUTU ambae hakucheza mechi za simba zote mbili lubumbashi na hapo dar kutokana na kutumikia adhabu ya kufungiwa na CAF ambayo ianaelekea kumalizika.Hapa chini kwenye video utamuona mheshimiwa mbunge kijana kipenzi cha wengi ndani ya congo Le Honorable WIVINE MOLEKA akimtebelea TRESSOR MPUTU katika makazi yake….jamani acheni mazembe iitwe le champion da afrique,inastahili,iko well organized…

 3. Hadj le Jbnique says:

 4. Hadj le Jbnique says:

  Samahani wadau,direct link kuona video ya makazi ya tressor mputu alipotembelewa na Mh.WIVINE ni hii hapa chini,u just gonga,utapata video nzuri.

  http://wn.com/HONORABLE_WIVINE_MOLEKA_AYAMBI_TRESOR_MPUTU#

 5. tamim says:

  duh,
  kaka si mchezo…hongera it’s an interesting story of Moise Katumbi

 6. soraya says:

  I watched a live game of tp mazembe. It was amazing to see there following and the huge home base support. I would love to see another there games live

 7. Leia Farrar says:

  I undoubtedly enjoy every single small little bit of it and I’ve you bookmarked to check out out new things of the website a have to read through blog site!

 8. local hero says:

  I truly think this page needs much more consideration. I will probably be again to read much more, thanks for that info. I hope you are making money off this website. Your creative potential seems limitless.

 9. We absolutely love your blog and find a lot of your post’s to be just what I’m looking for. Do you offer guest writers to write content available for you? I wouldn’t mind producing a post or elaborating on many of the subjects you write in relation to here. Again, awesome web site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: