Geco Bouro Mpela, Mdogo wa Allain Mpela aliyetesa kwa Koffi

Anaitwa Geco Bouro Mpela ni mdogo wake na Alain Mpela kijana machachari sana aliyekuwa akiimbia kundi la Wenge Musica. Geco Mpela ni matunda ya Koffi Charls Olomide na baada ya kuiva aliamua kutoka kivyake na wakati fulani akishirikiana na kaka yake Alain Mpela walitoa Albam yao iliyoitwa Mortal Combat, ambayo kwa kiasi fulani ilifanya vizuri. I*nasemekana kuwa Koffi alikuwa akimtumia Geco kumshawishi kaka yake Allain Mpela ajiunge na Quartier Latin ya Koffi bila mafanikio, Kwani kwa Koffi uhodari wa Wenge BCBG ulikuwa ni tishio kwa ngome yake kwani ulisababisha kugawana mashabiki jambo ambalo yeye binafsi hakulipendelea.

Geco Mpela na Allain Mpela, Wawili hawa wanatoka kwenye familia ambayo kiasi fulani inajiweza huku kaka mtu Allain Mpela kiwa ni mwanajeshi aliyeihasi kambi na ndio maana kila alipofikia kuimba JB Mpiana alikuwa akimuita “Afande” kama jina lake la utani.

 

Geco Mpela kwa sasa anafanya kazi kibyake huku akiwa na albamu hiyo yenye wimbo ulioshika wa

Vice de Procedure Nakutakieni jumatatu njema na wiki njema.
Advertisements

9 Responses to Geco Bouro Mpela, Mdogo wa Allain Mpela aliyetesa kwa Koffi

 1. Richard Malewa says:

  Hawa jamaa ni kudaadeeekii. Maana huwa nashindwa kujua nani amemzidi mwenzake kwenye kucheza ingawa kwenye kuimba naona sauti ya malaika ya Kinshasa, Mkuu wa Jukwaa Afandeeee ni kama zaidi au pengine labda kutokana na style ya Koffi ya kutopenda kuwapa nafasi vijana wake maana alivyomwachia nafasi SUZUKI aliona madhara yake. Hivi yupo wapi AFANDE naambiwa yupo france au belgium kama Mhasibu? au lah?

  JBMpiana Papa na Cherry alilia sana alivyoondoka Wenge BCBG, ingawa yeye mwenyewe Afande hakupenda. Hakuweka wazi sijui ni kitu gani mbaya alifanyiwa ingawa yeye mwenyewe anasema alijitolea sana kwa hiyo bendi.

  Lakini kwa unguli wake na wa muda mrefu nilikuwa sipendi namna JB alivyokuwa aki-mtreat afande wakati wa peformance maana alikuwa anawachanganya pamoja na wale vijana wengine akina Shai Ngenge , Rio kwenye kushambulia jukwaa mmoja mmoja. Hakuwa akimweka kwenye level moja hayo ni ya jukwaani je kwenye mambo ya ndani.

  au labda PAPA CHERY anapenda kulea na KU-CHERISH VIJANA.

  Tchao

 2. George Willy says:

  Nasikia huyu Bouro alishawahi kutembea na dancer wa enzi hizo wa Koffi Olomide mrembo Patience Ibe. Kama ni kweli basi alifaidi.

 3. Isinda says:

  Borou mpela ni zaidi ya unavyomjua, jama anacheza na kuimba balaa.

 4. I all the time emailed this weblog post about Geco Bouro Mpela, Mdogo wa Allain Mpela aliyetesa kwa Koffi | Spoti na Starehe page to all my associates, as if like to read it then my links will too. Togel Online Terpercaya Discount Besar http://dewi4d.org/

 5. Hi to all, it’s in fact a Geco Bouro Mpela, Mdogo wa Allain Mpela aliyetesa kwa Koffi | Spoti na Starehe pleasant for me to visit this web page, it consists of useful Information. Togel Online Joker Merah http://dewi4d.org/

 6. Thanks for your publication. What I want to say is that when looking for a good on the internet electronics go shopping, look for a web site with complete information on critical indicators such as the security statement, basic safety details, any payment options, and also other terms along with policies. Generally take time to investigate the help plus FAQ segments to get a far better idea of what sort of shop performs, what they are capable of doing for you, and in what way you can make best use of the features.

 7. This may be the proper weblog for anybody who wishes to find out about this topic. You recognize a great deal of its practically challenging to argue with you (not that When i would want…HaHa). You actually put the latest spin for a topic thats been written about for some time. Excellent stuff, just wonderful!

 8. Soo Chin says:

  Thank you for your site post. Velupe and I happen to be saving for just a new book on this subject and your article has made us all to save money. Your opinions really responded all our issues. In fact, above what we had thought of ahead of the time we came across your great blog. I no longer nurture doubts including a troubled mind because you totally attended to each of our needs here. Thanks

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: