Ngwasuma kuungurumisha Rufita ijumaa hii

Bendi ya FM Academia itafanya onyesho siku ya ijumaa tarehe 11 February 2011 katika ukumbi wa Rufita ulioko Tabata Segerea.

Akizungumza na Spoti na Starehe mkurugenzi wa Madenge Rntertainment alisema kuwa ameamua kuwaleta FM baada ya maombi ya siku nyingi ya mashabiki wa bendi hiyo huko Tabata na Segerea.

Aidha Madenge amesema kuwa Kampuni ya Madenge Entertainment imeamua kujikita kenye muziki huu kwa kuwa unamashabiki wengi na wao wameamua kuwapelekea mashabiki wao starehe huko waliko. “…sisi tutawafata mashabiki huko waliko na kuwapelekea burudani maana kuna wengine wanalalamika mambo ya usafiri kufata starehe, kwa mtindi huu hawana haja ya kuifata bendi wilaya nyingine kwani itakuwa bandika bandua na kila wiki kutakuwa na onyesho…” alisema Madenge kwa mbwembwe nyingi.

FM wamejizolea umaarufu mkubwa kwenye sekta ya burdani tangu mwaka huu uanze hili litakuwa onyesho lao la kwanza kupiga Tabata/Segerea hivyo Mkurugenzi huyo amewataka mashabiki toka maeneo jirani na Tabata/Segerea kuja kwa wingi kuwaona wafalme wa burudani. Onyesha hilo linatazamiwa kuanza saa tatu usiku mpaka liamba.

 

103 Responses to Ngwasuma kuungurumisha Rufita ijumaa hii

 1. sexylady says:

  mimi nataka kujiunga na facebook ili nipate kuchati lkn sijui njia zake za kupita au taratibu nifanye nini? ili mimippate kuchati from zanzibar visiwani

 2. habaga says:

  mimi nataka kujiunga na facebook ili nipate kuchati lkn sijui njia zake za kupita au taratibu nifanye nini? ili mimippate kuchati from zanzibar visiwani
  Reply

 3. KENEDY says:

  oya nakuomba unielekeze jinsi yakujiunga na facebook

 4. Dogo2 says:

  Naomba kujua jinsi ya kujiunga na facebook,make kila nikijaribu kujiunga naambiwa your login is still secure.so please help me.

 5. Ashura kassim says:

  Http.facebook.com

 6. thomas msemo says:

  naomba njia ya kujiunga na facebook maana kila nikijaribu nashindwa

 7. Sun gogo's says:

  Sun gogo’s kutoka kishinda sengerema

 8. Jamani nataka kujiunga na fecebook naombeni mnifundishe jaman.

 9. Mubarak says:

  Hei+mambo+vip,nawapongeza+wanafunz+wote+walimmaliza+kidato+cha+sita+nyakato+kwakufanya+vizur.big+up

 10. MM HAMZA THABITH WA SONGEA MJINI MKOA RUVUMA TZ NATAFUTA MARAFIKI WA KUCHATINAO UMRI WANGU (29)ELIMU FORM 4

 11. DAUDI WA MORO says:

  mambo vp naitaji kujiunga facebook lakini nashindwa nifanyaje jaman

 12. nahitaji kuunganishwa nafacebook nifanyeje jamani

 13. JOHN MPUYA says:

  NATAFUTA MKE MWENYE UMRI WA 20-30

 14. NAITAJI KUJIUNGA NA FEBOOK NIFANYEJE JAMANI

 15. CHRISTINE says:

  NATAMANI KUJIUNGA NA FACEBOOK ILA NASHINDWA NAOMBA MSAADA

 16. I like the helpful information you provide in your articles.
  I will bookmark your blog and check again here frequently.
  I am quite sure I will learn many new stuff right here!
  Best of luck for the next!

 17. OMARY HAJI TWEGO says:

  KUJIUNGA NA FACEBOOK

 18. side says:

  i want to join with facebook.please help me

 19. I know this if off topic but I’m looking into starting my own blog and was wondering what all is required to get setup? I’m assuming having a blog like yours would cost a pretty penny?
  I’m not very web smart so I’m not 100% positive. Any suggestions or advice would be greatly appreciated. Kudos

 20. TUMAIN RWAKILOMBA.S says:

  NATAKA KUJIUNGA NA FACEBOOK NIFANYEJE

 21. NESTONMPAYO says:

  NATAFUTA NDUGU YANGU JEREMIA.MPA YO.NAMBA.YANGUNI07 57468413

 22. Kevi says:

  Nawapenda wote

  • Thanks a lot for giving your thoughts. I’m really intrigued about how this will affect the world in the long term but it’s probably hard to see them with all the current changes we see happening. Where on earth did you even discover this information? This has been such a really great time. A excellent post.

 23. Naitwa kelvin matokeo thadeo wa kabindi Runazi Biharamulo kagera Tanzania

 24. Hussein says:

  Naombakujiungana facebook

 25. salum omari says:

  Naomba mnlelekeze jinsi ya kujiunga na facebook

 26. salum omari says:

  Naomba mnlelekeze jinsi ya kujiunga na facebook namba yangu ya sim ni o714119097

 27. Thomas says:

  Nataka kujiunga n facebook msaada basi

 28. YUREKI E MSHANA (bambo) says:

  Namtafuta yohani v kimario tulisoma wote s/m azimio iliyopo iringa no yangu ni 0757002362

 29. Anonymous says:

  INAKUWAJE WADAU NATAKA KUJIUNGA INTANET LAKINI NASHINDWA NAOMBA MUNISAIDIE

 30. Nahitaji kujiunga na fecbook nifanyeje? hrf natafuta marafiki wa kuchati nao, marafiki hao wawd wa busara. no.0763884278

 31. Anonymous says:

  naomba jaman mnielekeze kuingia facebook

 32. Anonymous says:

  natafuta marafiki wakuchat nakubadilishana mawazo jinsia yoyote naitwa upendo

 33. Anonymous says:

  naitwa upendo natafuta marafik wakubadilishana mawaz NO YANG 0655308205

 34. Anonymous says:

  da! najiona wa kama wazaman kuchelewa kujiunga na hii blog.call me scholah from makambako

 35. nauza mashamba yenye ukubwa wa aniazote wilaya mkuranga mkoa pwani cm no 0712658037 0783205445

 36. Mwl shaylock nyange says:

  Tembeleeni na vijijini kama Bukombe

 37. Tabata says:

  Igo ,wa Swaga Zisizoisha

 38. LISY says:

  Naomba jinc ya kujiunga na fb

 39. wadau mmetisha namtafuta baba yang anaitwa olivason maganga ni askari yuko musoma nipo ruvuma tunduru tumeachana nikiwa na miez minne sasa nina miaka ishirini kidato cha nne mama anaitwa beatrice mawasiliano 0788745605 & 0765893113

 40. wakazi w mkoa wa mara au popote naombeni msaada kwa yeyote anayemfahamu oliverson maganga awasiliane nami kwa simu 0788565205 au 0765893113 au 0752830330 imiss u my father

 41. natafuta marafiki jinsia zote wawe wachamungu umri wang miaka 20 mawasiliano 0788565205

 42. anymous says:

  jaman niaje mbona blog hii hakuna wanaoifollow yatufaa jamii tuendele libeneke kama wema na diamond ilove u all

 43. anymous says:

  wap alex king mbona aujibu comment zetu your suppose to change mr now the of blogs increasing ever minute pande tunduru hapa its me bonge

 44. Anonymous says:

  wap alex king mbona aujibu comment zetu your suppose to change mr now the number of blogs increasing ever minute pande za tunduru hapa its me bonge

 45. anonymous says:

  wap alex king mbona aujibu comment zetu your suppose to change mr now the number of blogs increasing ever minute pande za tunduru hapa its me bonge

 46. mm mamu naomben mnsaidie njinsi ya kujiunga facbok.

 47. 1993 says:

  mm mamu naomben mnsaidie njinsi ya kujiunga facbok.

 48. obbi says:

  nisaidieni nijiunge na fb inasumbua hasa code no za tz

 49. Anonymous says:

  Naomba msada wa kujiunga na facebook.

 50. Nickson Mfoy says:

  Hbr brother mm nmeshajiunga na facebook ila nikienda pale ikishaloading inakuja profile,update status,check in,event, chat nk. Sasa naomba unielekeze jinsi ya kuchat nifanyaje!

 51. Nickson Mfoy says:

  naomben mni2mie namba ya diamond

 52. Nickson Mfoy says:

  naomben mni2mie namba ya diamond napatkana kwa 0757802740

 53. natafuta mke mwenye miaka 60_70 ani bipu

 54. amba quzen says:

  we una akili kwel mke wa miaka sabin we una umri gan acha kufuru kijana waheshimu bibi zako sawa we dogo, kama hutaki kuoa bora ujinjunje mwenyewe.

 55. Anonymous says:

  Habari Umziwma Ww

 56. Anonymous says:

  Oyo Niaje?

 57. niaje wadau namtafuta mama yangu mdogo anaitwa vaileth cosmas mbele anaishi wilaya ya rolia manyara ameolewa na dereva anaitwa dotto na pia nasikitika kumpa taarifa kuwa mama yake na baba yake wameaga dunia yaani anjelica njau na cosmas mbele mawasiliano ya ndugu ni beatrice 0769805920 vick 0765893113

 58. ALFREDI KUBE says:

  Hi tanzania salamsana ziwafikie.

 59. Naomben Mnisaidie Jins Ya Kuchat Facebook.

 60. DOMY says:

  NISAIDIEN JAMAN KUJIUNGA NA FB. Alf kk tabia mbaya kuwazarau bib zako.

 61. mariam mohamed says:

  mariamnohamed.com

 62. Anonymous says:

  Naomben mnisaidie jinsi ya kujiung fb naitaj msaada wenu nifanyaje

 63. Naomben mnisaidie jinsi ya kujiung fb naitaj msaada wenu nifanyaje

 64. Naitwa SOPHIA REVOKATIUC says:

  naombeni mnisaidie jinc yakujiunga na fb. Then natafuta marafiki wakuchat nao. Mm nina umri wa miaka 20 na ninahitaji marafiki wenye umri kuanzia miaka 21 hadi 28. I love u all!

 65. joyce says:

  Hi! guys namtafuta rehema mbong popote alipo

 66. Naomba rafiki wa kuchat naye kuanzia miaka 16 had miaka 25

 67. 2.7.2014 says:

  nashindwa kujiunga na fb msaada jamani

 68. shabani juma says:

  mimi nataka kujiunga na fecbook kujua ulimwengu ote

 69. Anonymous says:

  nawapa hi wadau wote walio hitim kymo 2015

 70. Chloe Mauzey says:

  Extremely good weblog and great and posts.precious design and style, as share superior things with good strategies and concepts.

 71. Thanks on your marvelous posting! I seriously enjoyed reading it, you are a great author.I will make sure to bookmark your blog and may come back later on. I want to encourage yourself to continue your great work, have a nice morning!

 72. Currently it looks like Expression Engine is the best blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

 73. Dutch Vic says:

  Thumbs up if you are watching this!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: