Adebayor ajiunga Real lMadrid kwa mkopo

Mshambuliaji wa Manchester City Emmanuel Adebayor amejiunga kwa mkopo na klabu ya Real Madrid hadi mwishoni mwa msimu huu. Emmanuel Adebayor Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa yaTogo, anatazamiwa kuelekea Hispania siku ya Jumatano kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake katika klabu hiyo. Madrid watakuwa na uchaguzi kama watahitaji kumnunua moja kwa moja Adebayor mwenye umri wa miaka 26 mwishoni mwa msimu, wakati mkataba wake wa mkopo utakapomalizika. Adebayor alijiunga na Manchester City akitokea Arsenal kwa kitita cha paundi milioni 25 mwaka 2009 na ameshafunga mabao 19 katika michezo 36 ya ligi na mashindano mengine katika Manchester City. Anakuwa mshambuliaji wa pili mwandamizi wa Manchester City kuondoka katika klabu hiyo katika kipindi cha miezi sita, baada ya Robinho kwenda AC Milan na anaonekana atamsaidia meneja wa Real, Jose Mourinho kuziba pengo la mshambuliaji Gonzalo Higuain, anayesumbuliwa na matatizo ya mgongo. Kabla ya kumtupia jicho Adebayor, Real ilijaribu kumsajili mshambuliaji wa Hamburg, Ruud van Nistelrooy, huku dau lao la paundi milioni 39 likikataliwa kwa kutaka kumchukua mpachika mabao wa Atletico Madrid, anayechezea pia timu ya taifa ya Argentina, Sergio Aguero. Adebayor ataweza kucheza mashindano ya Ligi ya Ubingwa wa Ulaya na pia ligi ya Hispania, maarufu La Liga, Reala Madrid wakiwa wanashikilia nafasi ya pili, na iwapo mambo yake yatakwenda vizuri huko Bernabeu, anaweza kusaini mkataba wa kudumu kwa dau la uvumi la paundi karibu milioni 15.

Advertisements

One Response to Adebayor ajiunga Real lMadrid kwa mkopo

 1. Aletor Odion says:

  Siku njema

  Karibu Kwa Odion Mikopo wakopeshaji

  Wewe ni katika aina yoyote ya matatizo ya kifedha? msaada wako kula sasa. Wewe ni
  Hofu ya kupoteza usingizi katika usiku jinsi ya kupata mkopo Usiruhusu ndoto yako?
  kufa, Mawasiliano (romeoloanfirm@hotmail.com) kwa ajili ya mikopo rahisi na ya kuaminika.
  Maelezo yafuatayo:

  Wakopaji TAARIFA

  Jina lako Kamili ………
  Anwani ………………
  Kusudi ……………….
  Kiasi cha mkopo zinazohitajika ………
  Mkopo Duration …………
  Nchi yako ………….
  Kazi ……………
  Simu yako Idadi ……
  Mapato kwa mwezi ………..
  Ngono .. …………………
  Umri wako ……………….
  Faksi …………………

  Kuwasiliana E-mail: (romeoloanfirm@hotmail.com)

  Shukrani

  Aletor MrOdion

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: