Vitu ungependa kujua kuhusu Yvone Cherry “Monalisa”

Wengi wanamjua kama Monalisa lakini jina kamili anaitwa yvone Cherry, ni mmoja wa waigizaji wa mwanzo kwenye michezo ya TV na Ulimwengu wa Bongo Movie ambaye alijizolea umaarufu sana. Mwanadada huyu alipita safari ndefu mpaka alipo leo hii akiwa ameshaonekana kwenye movie kadhaa, matangazo ya biashara na hata michezo ya kwenye majukwaa kama data zinavyoonyesha hapo chini.

  • FILMS
    BLACK SUNDAY ZIFF AWARD BEST ACTRESS FROM TANZANIA
    PAYBACK
    NIMEOKOKA
    CELLULAR
    WRONG NUMBER
    KABURI 1 Directed by YVONNE CHERRYL
    BINTI NUSA Directed by YVONNE CHERRYL
    WHERE IS GOD DIrected by YVONNE CHERRYL
    CHANZO NI MAMA Directed by YVONNE CHERRYL
    WEDDING PRESSURE
    KWA HESHIMA YA PENZI
    JERAHA LA NDOA
    BEHIND THE SCENE
    WHO IS SMATTER
    SHE IS MY SISTER
    DILEMMA
    SABRINA
    GIRLFRIEND
  • Hapa Monalisa (Pili shoto) akiwa na waigizaji wengine maarufu, nyuma yake ni Mzee Chilo. 
  •  
  • STAGE PLAYSA MAN OF THE PEOLE-KENYA NATIONAL THEATRE(NAIROBI KENYA)
    KIU-KENYA NATIONAL THEATRE (NAIROBI KENYA)
    DONT DRESS FOR DINNER-RUSSIAN CULTURAL CENTRE(TZ)
    THE SONG OF LAWINO-LITTLE THEATRE(TZ)
    ZAWADI YA USHINDI-ZIFF(ZANZIBAR)
    THE GOVERNMENT INSPECTOR-BAGAMOYO ART FESTIVAL

    COMMERCIALS

    HEINEKEN-2001
    ASSAS DIARY MILK-2002
    COMFY-2010

    AWARDS
    ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL-BEST TANZANIA ACTRESS 2010 for BLACK SUNDAY
    KIU NEWSPAPER-QUEEN OF BONGO FILMS-2008

23 Responses to Vitu ungependa kujua kuhusu Yvone Cherry “Monalisa”

  1. AAAH!Anapendeza on top that she is the best she is also beautiful and she is ma HEROINE

  2. rocah says:

    dada anayejua nini anafanya katika tasnia ya filamu,mpenda maendeleo pia.

  3. Anonymous says:

    much love moona

  4. i always admire her work…she is tha best

  5. AYNES says:

    HONGERA DADA UPO JUU KAZA BUTI

  6. Anonymous says:

    monalisa anatishaaaaaa

  7. Anonymous says:

    monalisa unatisha kwenye gemu napenda sana kazi zako unazo fanya natamani mm siku moja niwe kama ww naomba unitafute

  8. Monalisa says:

    Uko poa kaza buti

  9. zaujiare says:

    kusema kwl namkubali sana monalisa

  10. zaujiare says:

    nakupnda sn dada ang jn mm nimefanana na ww ile mbya mpk wanasema ww ni ndngu yn plz naomb contac zk dada ang ili 2ongee vzr

  11. zaujiare says:

    plz dada ang this is my no:0652 958045

  12. Anonymous says:

    Monalisa,i lyk yew ad wis tew get a gal lk yw or one frm uo fmily oderwiz wait 4 my collabo…

  13. Anonymous says:

    hongera sana

  14. nasri juma says:

    kaz nzur dada much luv 2 ya

  15. mrs.Eddy says:

    unafanya vizuri monalisa penda sana wewe.

  16. Anonymous says:

    Congration my dada

  17. isaya nkoliala says:

    she’s my role model

  18. Tina Bramall says:

    I have bookmark your website and also include rss.

  19. As soon as I considered about items like: why this kind of information and facts is totally free here? When you compose a guide then at the very least on offering a book you will get a percentage, for the reason that. Thank you and very good luck on informing people a lot more about this.

  20. Sophia Daudi says:

    I admire her alot ,,she is the best idle💟

Leave a comment