Grand Finale ya Bongo Star Search Ijumaa hii

December 14, 2010

...

Advertisements

Gari inauzwa; Toyota Chaser GX100 Tsh. 8,000,000/- tu

December 14, 2010

Alloy Rimz size 17 na Tyre ni Mpya

Kwa Mbele

Kwa Ndani, Ina DVD Screen Mbili kwa nyuma

Radio ya CD

Kwa Nyuma

Wasiliana nami kwa simu no. 0713 666616 au 0772 666646

Bei iko hapo juu tafadhali kwa anayehitaji tuu.


UZINDUZI WA KAMBI YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010

December 14, 2010

Mdau Zeinul Mnzige (kulia) akikabidhi zawadi ya vitenge kwa Mratibu mkuu wa Giraffe Unique Model,
Methuselah Magese ikiwa ni moja ya zawadi zitakazokabidhiwa kwa warembo hao.
UNIQUE MODEL ni shindano la kutafuta wanamitndo wenye sifa za kipekee. Kwa mwaka huu limepewa jina la Giraffe unique model kutokana na Hoteli ya Giraffe Ocean vew ambayo iko katika hadhi ya nyota nne kuwa mdamini mkuu wa shindano hili.
Lengo la kuweka kambi ni kuwakusanya washiriki sehemu moja na kuwapa elimu kuhusu masuala mbalimbali yahnayo husu mitindo, maadili na namna ya kuishi na jamii yenye tabia tofautitofauti. Kwa upande wa unique entertainment lengo lake ni kuinua na kuendeleza vipaji vya sanaa ya uanamitindo hapa nchini.
Hiki ni kitu kipya tumekuja nacho kutokana na utafiti tuliofanya na kugundua soko la mitindo hapa nchini na hata nje ya nchi linahitaji wanamitindo wa aina gani ili kila mtu avutiwe na tasnia hii ndio maana unique entertainment tumeamua kutengeneza wanamitindo mabao watakidhi na watakua bora katika soko la uanamitndo kwa hapa nchini.
Shindano hili litafanyika 24th desemba siku ya ijumaa kuanzia saa mbili usiku ambapo tutakua pia na burudani kutoka kwa wasnii mbalimbali wa kizazi kipya na kiingilio kitakua ni tsh. 20,000/= kwa viti vya kawaida na tsh. 30,000/= kwa viti maalum.
Kwa upande wa udhamini tukimuacha Giraffe ocean Vew Hotell kama mdhamini mkuu pia tunao wadhamini kama Robbialack paints, Mohamed enterprises, Channel Ten, Global Publishers, Truworths, Ally Rehemtullah, Galacha wear mtata kwa mtaa blog na uniqueentertz blog.
Kwa kumalizia tu ni kwamba tiketi za tukio zitaanza kupatikana muda wowote kuanzia leo na tunatarajia zitakua zikipatikana katika vituo mbalimbali kama vile Truworths (mlimani city), Global publisher (bamaga), Giraffe Ocean Vew hotel (Africana / kunduchi) na stears (posta).
Kuhusu UNIQUE ENTERTAINMENT
UNIQUE ENTERTAINMENT ni kampuni iliyesajiliwa kisheria nchini Tanzania chini ya BASATA kufanya kazi za mitindo na burudani.
Kwa mawasiliano zaidi:
e-Mail: uniqueentertz@yahoo.com
Tel: +255 714 796 622, +255 769 378 747
Mratibu wa shindani wa Giraffe Unique Models 2010
Methuselah Magese

Masikini Arsenal….!

December 14, 2010

...

Manchester United player Ji-Sung Park, centre, celebrates after scoring the first goal of the game against Arsenal, during their Premier League soccer match at Old Trafford, Manchester, England, Monday Dec. 13, 2010. Luis Nani at left and Wayne Rooney at right.

...

Combo hichooooo!!! Golikipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akijitahidi kukiokoa chombo kikielekea kimiani.

Lete za kichina nikupe za kibantu

  • Msimamo wa Ligi kwa sasa.
Team W D L Pts
Manchester United 9 7 0 34
Arsenal 10 2 5 32
Manchester City 9 5 3 32
Chelsea 9 4 4 31
Tottenham 7 6 4 27
Bolton 6 8 3 26
Sunderland 5 9 3 24
Newcastle United 6 4 7 22
Liverpool 6 4 7 22
Blackpool 6 4 6 22

 


Tevez asisitiza ataondoka Man City

December 14, 2010

...

Carlos Tevez amesisitiza ataondoka Manchester City kwa sababu uhusiano wake na “baadhi ya viongozi” ndani ya klabu, “umeharibika kiasi hakutakuwa na suluhu “

City imekataa barua ya maombi ya kutaka kuhama kutoka kwa mshambuliaji huyo raia wa Argentina, anayeelezwa anataka kuhama Man City kwa sababu za kifamilia.

Amesisitiza hana “matatizo binafsi” na meneja Roberto Mancini.

Read the rest of this entry »


%d bloggers like this: