Anna ya FM Academia toka albamu ya Dunia Kigeugeu.

Kibao kinaitwa Anna, Kinapatikana kwenye albamu inaitwa Dunia Kigeugeu yakwao FM Academia.

Niliwahi kuandika huko nyuma kuwa hii Albamu bora ambayo sidhani kama FM wangeweza kuvunja rekodi yao jambo lililopelekea kubishana sana na Patcho Mwamba, muimbaji ambaye namkubali sana kwenye medani ya muziki wa dansi hapa TAnzania. Nilichomwambia ni kuwa Albamu hii ilikuwa na tungo zenye maana, mpangilio mzuri wa sauti na ala za muziki. Tungo nyingi humu zilikuwa ni zao wanamuziki.

Kumekuwa na tabia ya wanamuziki hasa wa congo ku copy nyimbo za Congo na kuziimba tena kwa kiswahili hasa zile ambazo huku hazisikiki sana redioni au ambazo hazikuvuma, niliwahi kuandika hilo pia.

Sikiliza wimbo huu unipe mawazo yako.

14 Responses to Anna ya FM Academia toka albamu ya Dunia Kigeugeu.

  1. kingo says:

    ni ukweli usiopingika kwamba Academia haawatakuja kufanya album kali kama hii kwa maisha yote ya Bendi hii,ningekua na mkataba na Mungu ningekua tayari kuweka dau na Patcho la ukubwa wowote,kudadeki!msipo-copy wazee ni wakali MBAYAAAAA,hakuna cha kapuya,sijui asha baraka,ila fanyeni zenu!once again,hongereni na ASANTEN SANA kwa album ya dunia kigeugeu!

  2. MATHEW EDSON says:

    Patcho acha ubishi albamu hii haijawahi kutokea na haitatokea. Hakuna bendi itakayoweza kuvunja rekodi ya albamu hii si Twa…Rufit.. Aku.. wala ninyi wenyewe.

  3. Nancy Snarr says:

    whoah this blog is great i love reading your posts. Keep up the good work! You know, a lot of people are searching around for this information, you can aid them greatly.

  4. Right now it looks like WordPress is the preferred blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

  5. Appreciating the time and effort you put into your blog and detailed information you provide. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed information. Fantastic read! I’ve saved your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

  6. Otilia Klaus says:

    I think this is certainly an informative post and it truly is educated and extremely valuable. I would wish to thank you for the efforts you may have made in writing this short article.

  7. Appreciating the time and energy you put into your blog and detailed information you provide. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed material. Excellent read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

  8. What I have continually told individuals is that when looking for a good on the net electronics retail outlet, there are a few elements that you have to factor in. First and foremost, you should make sure to get a reputable as well as reliable retail store that has received great critiques and ratings from other people and business world professionals. This will ensure you are getting along with a well-known store that delivers good service and help to their patrons. Thanks for sharing your notions on this blog site.

  9. Your stuff is so epic that my eyeballs exploded while reading it! Take a look at my web site as well and let me know what you think.

  10. Certainly completely with your conclusions and imagine that you’ve made some excellent points. Also, I like design of one’s site plus the ease of navigation. I’ve bookmarked your site and may return often!

  11. Admiring the dedication you put into your site and detailed information you offer. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed material. Fantastic read! I’ve saved your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

  12. We stumbled over here from a different web page and thought I may as well check things out. I like what I see so now i am following you. Look forward to finding out about your web page yet again.

  13. Car kits says:

    Blag.xserver-x.org

    Anna ya FM Academia toka albamu ya Dunia Kigeugeu. | Spoti na Starehe

  14. At this time it appears like BlogEngine is the top blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a reply to boutique franchise opportunities Cancel reply