Je unataka kupungua?

December 10, 2010

...

Kwa wasikilizaji wa Kipindi cha Jahazi cha Gadner G. Habash na Kibonde siku moja waliwahi kuongelea kuhusu kahawa hii na watu wengi walionyesha kuipenda na kutaka kujua zaidi kuhusu KAhawa hii ya Kupunguza unene.

Kama na we ni mmoja wapo basi Kahawa hii Stock ya kwanza imefika na inaatikana Jackz Cosmetics Kinondoni.

Inasifika ulimwenguni na imejizolea umaaufu kwa uwezo wake wa kufanya kazi ambapo matokeo yanaonekana siku 14 za mwanzo tu.

Tupigie simu 0713577777 au tupate kwa facebook andika “jakzcosmetics” .

 

MENU INAYOENDANA NA KAHAWA ILI UPUNGUE KWA HARAKA

Read the rest of this entry »

Advertisements

Anna ya FM Academia toka albamu ya Dunia Kigeugeu.

December 10, 2010

Kibao kinaitwa Anna, Kinapatikana kwenye albamu inaitwa Dunia Kigeugeu yakwao FM Academia.

Niliwahi kuandika huko nyuma kuwa hii Albamu bora ambayo sidhani kama FM wangeweza kuvunja rekodi yao jambo lililopelekea kubishana sana na Patcho Mwamba, muimbaji ambaye namkubali sana kwenye medani ya muziki wa dansi hapa TAnzania. Nilichomwambia ni kuwa Albamu hii ilikuwa na tungo zenye maana, mpangilio mzuri wa sauti na ala za muziki. Tungo nyingi humu zilikuwa ni zao wanamuziki.

Kumekuwa na tabia ya wanamuziki hasa wa congo ku copy nyimbo za Congo na kuziimba tena kwa kiswahili hasa zile ambazo huku hazisikiki sana redioni au ambazo hazikuvuma, niliwahi kuandika hilo pia.

Sikiliza wimbo huu unipe mawazo yako.


Sijafukuzwa FM Academia; Jose Mara

December 10, 2010

Jose Mara

Mwanamuziki nguli anayezidi kukimbiza kwa sasa Jose Mara amekanusha habari kuwa amefukuzwa kutoka kwenye bendi yake ya FM Academia.

Jose Mara aliyasema hayo kupitia kwenye blog na ukurasa wake wa Facebook ambapo amekanusha vikali habari hizo huku akiishutumu Blog moja bila kuitaja na kusisitiza kuwa bado ni mwanamuziki wa FM Academia na bado ni mwanachama wa Mapacha Watatu.

“Wadau nimeona kuna Blog Moja Imeandika kwamba Nimefukuzwa Kazi FM Academia. Nakanusha Habari Hizo. Sijapokea hiyo Barua na Juzi nilikuwa na FM kwenye Sherehe ya airtel Pale Mlimani City na jana tulikuwa Maisha Club. FM Academia Nipo. Mapacha Watatu Tupo.” Ilisema sehemu ya taarifa ya Jose Mara.


WATANZANIA TUNAWAOMBA KUMPIGIA KURA DIAMOND

December 10, 2010


URBAN PULSE CREATIVE Inawaomba na kuwasihi watanzania wote pale walipo kuwa wazalendo na kumpigia kura Mtanzania mwenzetu, Ndugu Yetu, rafiki Yetu, Msanii wetu mpendwa Diamond ambaye amebahatika kuwa miongoni mwa wasanii wachache waliochaguliwa kuwania Tuzo za MTV MAMA AFRICA Awards Zitakazo fanyika Nigeria Jijini Lagos Jumamosi hii 11.12.10

Hivyo Basi watanzania na wadau wote wa muziki mnaombwa sana kupiga kura ili Kumwenzesha Diamond ashinde tuzo hii muhimu iweze kuja Tanzania ili kuiwezesha Nchi yetu kujulikana zaidi ulimwenguni na pia kuleta HESHIMA kubwa kwa kila MTANZANIA.

Namna ya kupiga Kura ni kama ifuatavyo:

1. Kwa njia ya simu unaweza kupiga kura yako kwa kuandika neno BNA DIAMOND kisha tuma  text kwenda namba 6262, kwa walio  nje yaTanzani tuma  text 15726.

2. Kutumia Mtandao  tembelea tovuti hii http://www.mtvbase.com/splash/mama/ bonyeza mtv mama halafu ingia ndani ya nominees  tunaomba umpigie kura as the best New Act.

Tafadhari fanya sehemu yako pia mwambie na mwenzako.

Asanteni sana Mungu awabariki.

Diamond Platinumz

akishirikiana na

URBAN PULSE CREATIVE


Mh. Magufuli kazi unayo

December 10, 2010

..

Hii ni picha iliyopigwa na Pius Mikonogti Jr (sio mimi) leo asubuhi saa moja, baada ya mvua iliyodumu kwa dakika kama 20 tuu. Pata picha kama mvua itanyesha kwa siku nzima hali itakuwaje?

Mh. Magufuli hili liko kwako, Ukubwa jalala kila kitu utatupiwa wewe na watu wanategemea neema zaidi. Kazi unayo mkubwa.


Dah ama kweli upepo unabadilika…

December 10, 2010

Barclays Msimamo wa Ligi Kuu ya England

Ijumaa, 10 Desemba 2010 00:00 UK

Position Timu M TG PNT
Full Barclays Msimamo wa Ligi Kuu ya England
1 Arsenal 16 16 32
2 Man Utd 15 19 31
3 Chelsea 16 19 30
4 Man City 16 9 29
5 Tottenham 16 3 26
6 Bolton 16 5 23
7 Sunderland 16 2 23
8 Liverpool 16 1 22
9 West Brom 16 -4 22
10 Stoke 16 0 21
11 Blackburn 16 -4 21
12 Newcastle 16 -1 19
13 Blackpool 15 -6 19
14 Birmingham 16 -2 18
15 Everton 16 -2 17
16 Aston Villa 16 -10 17
17 Fulham 16 -4 15
18 Wigan 16 -15 15
19 Wolves 16 -13 12
20 West Ham 16 -13 12

ICE BLACK MAGIC – DAR 2010

December 10, 2010

.


%d bloggers like this: