KUMBUKUMBU KWA MAREHEMU MARAFIKI DESEMBA 11, 2010

December 9, 2010


 

 

...

Kwa heshima na taadhima tunapenda kuwafahamisha na kuwakaribisha katika hafla ya kuwaombea dua marafiki zetu waliofariki dunia katika kipindi cha miaka ishirini (20) hadi sasa.

Marafiki waliobaki wa iliyokuwa TAZARA Club, Kinondoni pamoja na wengine wa Leaders Club, Bamboo Club (John Fedha), Hunters, Check Point, Break Point, Rose Garden, Octa’s Pub (Ubalozi wa Ufaransa), Bakulutu, British Legeon, Railway Club Gerezani (Singa Singa) na wengineo wengi wamejumuika kufanya tendo hili la kuwakumbuka marafiki zetu Tarehe 11 Disemba 2010 katika viwanja vya LEADERS CLUB ( KINONDONI).

Ratiba:

Saa 7:00 Mchana – Marafiki na Waalikwa Kujumuika

Saa 7:30 Mchana – Dua kusomwa na Sheikh na Padre

Saa 8:00 Mchana – Chakula

Saa 9:00 Mchana – Mwisho wa Shughuli

Yafuatayo ni majina ya marehemu tunao wakumbuka: –

 

1 Ada Sykes
2 Angela Madondola
3 Balozi Mbapila
4 Ben Branco
5 Bisanga Mshamu
6 Bupe
7 Chacha Marwa Boghas
8 Charles Lyimo
9 Charles Mbandwa
10 Choggy Sly
11 Costa Teffe
12 Eddy (Inn By The Sea)
13 Eddy Sally
14 Emmanuel Rweikiza
15 Eugine Kagolo
16 Farida Masoli
17 Frank Mutani
18 Four Cash
19 Gasper Akili
20 Geofrey Dahal
21 George Mazulla
22 Haji (Tanga)
23 Hamphrey Akena
24 Hilda (Naomba 100)
25 Ippy Malecela
26 Jimmy Mahimbo
27 Joshua International
28 Juma Ngida
29 Kalio
30 Karuhinda
31 Ndalla Kasheba
32 Kimambi
33 Kimambo NCCR
34 Levis (G8)
35 Majuto Tazara
36 Manfred Kapinga
37 DJ Mangappy
38 Mariam Donna Summer
39 Mavalla
40 Mbiku
41 Mfanga
42 Mike Maro
43 Mine
44 Mr. Emanuel Mbando
45 Mr. Labarny
46 Mussa Ngoda
47 Mzee Assey
48 Mzee Bashwan
49 Mzee Joseph
50 Mzee Khatib Siraji
51 Mzee Mujaya
52 Mzee Mushi
53 Mzee Samuel
54 Mzee Shetta
55 Mzee Soud
56 Mzee Tegissa
57 Mzee Yusuf Mandevu
58 Nassor Malocho
59 Ndealle Makere
60 Ng’itu
61 Nusura
62 Omary Sykes
63 Omary Urembo
64 Othman Maraha
65 Othman Matusi
66 Othman Rungu (Matai)
67 Pettie
68 PJ (Paul Mdachi)
69 Rajab Mwajasho
70 Ramadhan Majungu
71 Ray Abdu Adedeji.
72 Rhoda Mbandwa
73 Rose Hosea (Mwajasho)
74 Royal (Dotto)
75 Royal (Kulwa)
76 Rukia Mwajasho
77 Saad Suleiman (Tazara)
78 Saidi Machupi
79 Sanga
80 Shaaban Satto ‘Shebby B’
81 Shaan Aspro
82 Super Mafuru
83 Tecla (TAZARA CLUB Staff)
84 Temu Tuffe
85 Tina Mzena
86 Tomito
87 Winston
88 Zaki Aman
89 Zumu

MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOTANGULIA

“AMEN”

 

...

RIP My Loving Uncle Angela Madondola (No. 2 in the list)

Mungu awabariki walioandaa, Mungu akubaliki Balozi Abdul Cisco Mtiro kwa kufanikisha hili.

Amen

 


%d bloggers like this: