Dinner ya kumpongeza Dada Sporah

December 5, 2010

Mdau Ayoub Mzee akimpongeza Sporah wa The Sporah Show wakati wa chakula cha kumpongeza kwa kuhitimu elimu yake majuzi huko Uingereza.

Sporah Njau akibadilishana mawazo na nduguye Elly Njau wakati wa msosi wa kumpongeza.

MAmbo ya maakuli tena

Waalikwa wakisikiliza salamu za pongezi

Maakuli bwana

Hivi karibuni Sporah alifanikiwa kuhitimu masomo yake ya Degree ya International Business Management katika Chuo Kikuu cha  London Metropolitan University.

Ukitaka kujua mengi ya mwanadada huyu basi bofya hapa

Advertisements

Ninja Ronaldinho

December 5, 2010

 

...

AC Milan’s Brazilian forward Ronaldinho watches from the substitutes’ bench during his team’s Serie A match against Brescia on December 4, 2010 in the San Siro stadium in Milan. AC Milan won 3-0.


%d bloggers like this: