Shime tumpigie Kura Msechu siku zimeisha!!!

December 3, 2010

Huu ni wimbo wa HAsira HAsara wakwakwe Msechu ambao Jaji Ian aliufagilia. Siku ya Jumapili ndio mwisho wa kupiga kura huku Msechu akitakiwa kuimba wimbo wa kwake Papa Wemba wa Show Me The Way.

Shime tumpigie kura Peter Msechu, muwakilishi pekee wa Tanzania alibaki kwenye shindano la Tusker Project Fame.

 

Kupiga kura andika neno ” Tusker 9″ Kisha tuma kwa 15522

Advertisements

9 December hiyooooo!!

December 3, 2010

...


%d bloggers like this: