Birdman aweka hadharani gari yake aina ya Bugatti Veyron yenye thamani ya Dolla $2.1 Million.

image

Hii ni gari aina ya Bugatti Veyron. ambayo imemgharimu Msanii Bird Man juma ya Dola $2.1million, sawa na Shilingi za kitanzania Billion 3,202,500,000/= kwa rate ya 1525/= ya leo.

image

akiwa amevalia Full nyekundu ili kumechisha na gari yake, Birdman alipiga picha za kumbukumbu kwenye makabidhiano ya gari hiyo video ambayo imerushwa kwenye mitandao kwa ajili ya mashabiki kuona. Gharama ya gari hiyo inaiweka wazi rekodi ya mapato yake jambo ambalo awali hakulitaka.

Gari hii ina uwezo wa horse power 1000 ambao ni mkubwa sana unaweza kuipeleka gari hii kutoka 0 hadi Speed 60 kwa sekunde 2.6, huku ikienda maili 250 kwa saa (250 mph.)

Kwa mujibu wa rekodi zipo Bugatti Veyron 200 tu duniani huku 15 zikiwa nchini marekani. inasemekana hii ni moja kati ya gari za gharama kubwa mnoo kuliko zote duniani.

Birdman anaongeza watu maarufu wenye gari aina ya Bugatti akiwemo Simon Cowell na Tom Cruise. ingawa Tom Cruise aliwahi kuripotiwa kupata taabu kuingia na kutoka kwenye gari yake hiyo ya thamani kubwa sana

Soma hapa kwa habari zaidi

2 Responses to Birdman aweka hadharani gari yake aina ya Bugatti Veyron yenye thamani ya Dolla $2.1 Million.

  1. Relatively selected he’ll have a excellent go through. Thank you for sharing!

  2. Fantastic post however I was wanting to know if you could write a litte more on this subject? I’d be very thankful if you could elaborate a little bit further. Bless you!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: