Ukweli Kuhusu Haruna Moshi ‘ Boban’ : Alikosa Namba Gavle IF.

Na Maggid Mjengwa,
Gavle, Sweden

image

HII ni sehemu tu ya makala inayohusu sakata la Haruna Moshi kukatisha mkataba na klabu ya Gavle IF. Kuna mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu Haruna Moshi kukatisha ghafla mkataba wake na klabu ya Gavle IF ya hapa Sweden. Hata hivyo, wapenzi wa soka wa Tanzania hawakuweza kupata ukweli hasa juu ya sakata la Haruna Moshi ‘ Boban’.

Nikiwa katika mji wa Gavle, mahali ambapo Haruna Moshi aliishi na kucheza kandanda ya kulipwa nimeweza kukusanya taarifa zenye kuonyesha nini kilitokea. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Haruna Moshi alikuwa na uwezo wa kuichezea klabu hiyo. Kilichojitokeza ni kwa Haruna Moshi kuwa majeruhi kwa muda mrefu huku nafasi ya kiungo wa kati anayoichezea ikigombaniwa na wachezaji zaidi ya watatu.

Katika muda wote aliokuwa na Gefvle IF, Haruna Moshi amecheza mechi tano tu za Ligi Kuu ya Sweden. Katika mechi hizo, ni mbili tu amecheza tangu mwanzo na nyingine tatu aliingia akitokea kwenye benchi la wachezaji wa akiba.

Gonga hapa kuisoma zaidi

Advertisements

One Response to Ukweli Kuhusu Haruna Moshi ‘ Boban’ : Alikosa Namba Gavle IF.

  1. I believe this is an informative publish and it can be experienced and incredibly beneficial. I’d wish to thank you to the efforts you might have manufactured in creating this post.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: