Namleta kwenu OCG na wimbo RAFIKI YANGU!!

January 4, 2010

ocg

Mara nyingi ukiongelea wanamuziki wa kizazi kipya iwe Raga, Hiphop au taja muziki wa mahadhi yeyote ili mradi ni wa kizazi kipya basi kuna majina ambayo yanakujia kichwani.

Binafsi kuna watu huwa nawakubali sana hi ni kutokana na uimbaji wao, beats zao, na hata Script za nyimbo na hatimaye video zao.

ocg2

Angalia wimbo huu wa kijana OCG akimshirikisha kijana Tonny Lov, wimbo ambao umetengenezwa kwenye studio za Mwamba Production kisha utaniambia maoni yako kwa kusikiliza maneno, ujumbe, sauti, mirindimo, na script pamoja na quality ya Video, wimbo unaitwa Rafiki yangu. Hii ni Post yangu ya kwanza kwa mwaka huu 2010.

Bonyeza Player kuona video hii


%d bloggers like this: