Meje 30 kiboko!!

image

Wacheza show wa mwanamama Tshalla Muana wakiwa na Malkia wa African Bambataa, Toka shoto ni STRTELING, ROZY, MJ 30 NGAI SOPHIE na TETE.  Hii ilikuwa majuzi kwenye Show ya Arusha.

Kwa waliohudhuria Onyesho la hivi karibuni kati ya JB Mpiana na Mama Tshalla Muana wantakubaliana na mimi kuwa huyu mwanamke anatisha kwa kuimba.

Spoti na Starehe iliwahi kumtambulisha mwanamuziki huyu au kwa faida ya wote post ilikuwa hivi.

Maranyingi ukiniuliza napenda nini kwenye nyimbo za kizaire nashindwa kujibu kwani jibu langu huwa napenda “Wimbo”.

Kwangu mimi nikisema Wimbo namaanisha Sauti, Muimbaji, Vyombo, mpangilio wa upigaji vyombo na kila kitu kilichopo kwenye wimbo husika.

Naomba umsikilize Mamaa Tshala Muana akishirikiana na Meje katika wmbo wao wa Delestage, labda wewe unaweza kuniambia umependa nini humu.

Mamaa Sopgia Kessy Upoo?

6 Responses to Meje 30 kiboko!!

 1. sophia says:

  asikuambie mtu kaka nipo Mj30 ni kiboko ukweli ni kuwa binti amejaliwa kipaji sauti na ni mtaalamu pia wa kucheza kikubwa ni mkarimu sana na mpenda maendeleo ya wenzake kimuziki kumbuka Mj 30 ndie aliemtambulisha Cindy kwa Kofii binti ambae sasa ndio president wa bendi ya Mopao. upo piussssssssssssssss

 2. Anonymous says:

  mtoto uyu Meje30 nikiboko kweli.. anaimba kama malahika akuna mwenye kumzidi.. mimi nampa 100%

 3. I’m really loving the theme/design of your blog. Do you ever run into any internet browser compatibility issues? A small number of my blog audience have complained about my site not working correctly in Explorer but looks great in Safari. Do you have any tips to help fix this issue?

 4. I’m really loving the theme/design of your website. Do you ever run into any internet browser compatibility problems? A couple of my blog readers have complained about my blog not working correctly in Explorer but looks great in Firefox. Do you have any solutions to help fix this problem?

 5. Admiring the hard work you put into your site and in depth information you present. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed material. Great read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

 6. Juma mahimbo says:

  Jumaally551@ gmail.com

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: