Profesa Jay,Joh Makini,Ngwea,Fid Q,Jay Moe kusindikiza Uzinduzi wa VETO

image

Maandalizi ya Uzinduzi wa Albamu ya Mr II ya VETO yamekamilika na kuwataja profesa j,joh makini,ngwea,fid q,jay moe kuwa watapamba uzinduzi huo.

Akiongea na Spoti na Starehe jijini hapa leo, Mr II amesema kuwa mbali ya wanamuziki hao walikwisha thibitisha ushiriki wao pia kua vikundi na watu kama Geez Mambovu,Kikosi cha Mizinga,Isanga familly,Babuu wa kitaa,Dogo hamidu na wengineo.

Ka ujumla kila kitu kiko poa alisema kwa kujiamini Mr II.

Albam hiyo ambayo tayari imeshatanguliza ngoma moja mtaani inayokwenda kwa jina la Hold On, itakuwa ikiongelea maisha halisi ya mtanzania, na ni albam ya kwanza ya mtanzania anayeishi nje, kuongelea maisha ya kizalendo ya nyumbani.

Tarehe ya uzinduzi imeshatangazwa, kwamba itakuwa katika mkesha wa krismas, na 80%, ya walioshirikishwa katika albam watakuwepo jukwaani kuonesha nini kinakuwaje.

3 Responses to Profesa Jay,Joh Makini,Ngwea,Fid Q,Jay Moe kusindikiza Uzinduzi wa VETO

  1. Anonymous says:

    napenda hiphop hadi kufa kwangu so naenjoy sana kufaham vitu kama hivi.

  2. I absolutely get pleasure from each small bit of it and I’ve you bookmarked to examine out new things of one’s site a need to read through site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: