JB Mpiana na Tshala Muana kuwasha moto Ubungo Plaza Desemba 18

December 11, 2009

Below are ticket Selling Point

we will start selling them on Monday 14th December 2009 at 9:00am

Dar es Salaam:

Jackie’s Bar

Steers – mjini

Steers-Millennium towers

Steers– Milimani City

Zizzou Fashion – Sinza Africa Sana

Engen Petrol station – Mbezi

Kampuni ya Sigara – Pugu road

Arusha:

-Nikki’s Pub-Njiro

Digital Entertainment– Shoprite

Tawi la Kampuni ya Sigara – Arusha

For more information please contact Club E Team at telephone number 078 7333315

m45

Pichani JB Mpiana akiwa na kundi zima la Wenge BCBG akitumbuiza kwenye Onyesho huko Belgium mapema mwaka huu.


Lyrics ya BED AND BREAKFAST ya AY

December 11, 2009

Intro:
Bed and Breakfast X 4

1st Verse:
Mambo yamejipa yaani BANG!
Muda wa kupumzika umefika umecome again,
Ndio maana watu wanashine,
Ndio maana kila kona nayopita watu ni wengi,
Ukidelay utapotea,
Mtoto anajiachia kama ameshapata mmea,
Kwenye bo body yake mi ndo sarveyer,mzeiya
Nazidisha miguso anadai (endelea)
Sa naona club haifai,
Hata washkaji wangu nishawaambia bye
Mtoto ashalalia bega mi naride
Namuuliza anataka nini kwangu
BED AND BREAKFAST……..

CHORUS:
Ebwana mi nampa (BED AND BREAKFAST)
Hataki vingine anataka (BED AND BREAKFAST)
Aaah aaaah (BED AND BREAKFAST)
Satisfaction guaranteed (BED AND BREAKFAST) X2

2nd VERSE:
Tushafika mtoto nae yupo front,
Bila kuchelewa mi nalock door,
Kama tumeambiana simu ziko off,
Chumba ndo cha baridi twapeana joto,
Mlaini kama bamia,mtamu ka lasagna,
Slow but sure si kumvamia,
Room sound proof so hutomsikia,
Tukipeana huku nikimsmack,
(You and I) Bed moja mtu mbili tu,
(You and I) Sink moja povu mpaka juu
(You and I) YOU x7 you and I aaaaah
BRIDGE
I don’t care hata simu ikiwa ON sipokei,
I don’t care hata waseme nini kwako siongei
I don’t care,kwako sitapretend,
I don’t care,we ni duu mi ni rudebwoy
I don’t care hata kama nikikupa overdose,
I don’t care,I don’t care…haaa haaaa..
CHORUS: X 2
BRIDGE:
You took me to Paradise
You’re the one unayenijazz,
Hook me with one more dose,
Pleaseee ONE MORE DOSE …. X 2

3rd VERSE:
Karibu himaya ya Rudebwoy AY,
Sura ya upole ila namba haifai,
Anadai…
Nimpe zaidi huku anacry,
Nikirefuse basi she gonna die…
CHORUS: X 2

Mwanamuziki Ambwene YEssaya aka AY hivi karibuni aliachia kibao songi jipya na tayari imeanza kushika vilivyo kwenye baadhi ya vituo vya redio, Wimbo huo unaokwenda kwa jina la Bed and Breakfast umeimbwa na AY akimshirikisha mwanadada mmoja ambaye mwenyewe alisema kuwa mwanadada huyu hapendi kujitangaza ila AY anamkubali kuwa yuko Juu.

Producer wa wimbo huo ni Hermy B na umetengenezwa kwenye Studio za B. Hitz Music Group na Mastering imefanywa na Lucas wa Ogopa Dee Jays wa Nairobi huko nchini Kenya. Kuisikiliza basi bofya HAPA


%d bloggers like this: