Simba 1-0 Yanga

Mpira umekwisha na Simba wameishinda kwa Taabu kwa 1-0.

Nitawaletea habari zaidi baadaye.

Advertisements

11 Responses to Simba 1-0 Yanga

 1. morgan mula says:

  Kaka we Yanga nii, yaani Simba kuifunga Yanga goli moja ndo unasema kwa taaaaaaabu. Aaah!! siye taratiiibu kama tunanawa. Mwaka huu ni kula vichwa tu.

 2. Raul says:

  kwa taabu ulikuwepo uwanjani? pamoja na kubebwa, gali limefungwa mapema hivyo mlikuwa na nafasi ya kujitetea kama mlikuwa na uwezo! safari hii mtalia sana, hii ndio timu ya Mnyama bwana!!

 3. Ben semu mwakafwila says:

  Mbona tuliambia simba mla nyama akikosa nyama hula ha majani yani hata goli 1 mbona haamini huyo kama anabisha apite msimbazi pale leo akaone palivo ama amuulize huyo mzungu wa yanga ndo anaijua simba vizuri licha ya uenyeji wake

 4. halima says:

  Habari ndio hiyo kwa tabu hiyo imekula kwenu yanga

 5. sam blacky says:

  kaka acha wivu simba ndo kaka mkubwa wengine wadogo zake 2 au sio bana pamoja!!!!

 6. ELIAS LUGULU(KILIMANI) says:

  OYA SIMBA NDO BWANA WAO YANGA NDO DEMU WAO

 7. ELIAS LUGULU(KILIMANI) says:

  KAKA MAMA NIMAMA YANGA HATA WAFANYEJE AWAWEZI KUWA BABA KAMA SIMBA.

 8. ELIAS LUGULU WA(NDOMONI) says:

  JAMANI YANGA VIBONDE KWANINI TUSI WAGONGE…

 9. ELIAS LUGULU WA(NDOMONI) says:

  KAKA,,,,,NENDA KAWAPE SALAMU ZAO WAMBIE SIMBA NDO BABA YAO WAKI VIMBA WAPASUKE ILA SIMBA BABA YAO,UMEWAIONA WAPI JOGOLASHAMBA LINA WIKA MJINI..

 10. ELIAS LUGULU RAIS WA NDOMONI says:

  SIMBA S CLUB JEMBE LAO NA NDIO JOGOO LA JIJI……..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: