Kutana na Giuliano Stroe, Baunsa mtoto wa miaka mitano aliyevunja Rekodi ya dunia.

juliana

Anaitwa Giuliano Stroe toka Romania, ana miaka mitano tu na tayari ana miraba 6 tumboni mwake (6 pax) na ameshaingia kwenye kitabu cha kumbukumbu cha walivunja rekodi cha Guiness.

akiwa na umri wa kuanza shule Giuliano Stroe aliingia kwenye kitabu cha Guiness mapema mwaka huu baada ya kutembea kwa mikono umbali wa mita 10 akiwa na mpira wenye uzito kati ya miguu yake. Tangu hapo video yake ya dakika 4 imekuwa na hit za ajabu na kuikonga dunia huku kila mtu akitaka kujua kulikoni na kupelekea mtoto huyu kupamba vichwa vya habari mbali mbali duniani. Bonyeza player kupata ushuhuda.

Advertisements

2 Responses to Kutana na Giuliano Stroe, Baunsa mtoto wa miaka mitano aliyevunja Rekodi ya dunia.

  1. Mussa says:

    Ha ha ha amakweli sikujua jama anaweza kutoa.

  2. lots of wonderful details and inspiration, both of which I have to have, thanks to offer this kind of a beneficial facts here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: