October 20, 2009

Charles Masanja Enzi Za Uhai Wake

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera akiweka shada la maua katika jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu masanja mara baada ya kutoa heshima za kwenye uwanja wa uhuru, Dar leo. Marehemu Masanja, aliyefariki usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake anategemewa kisafirishwa kuelekea kwao Urambo, Tabora, ambako imepangwa mazishi kufanyika siku ya Ijumaa.

Waombolezaji wakiwa wameibeba mwili wa aliyekuwa meneja wa uwanja wa Uhuru, Celestine Charles Masanja wakati wa kutoa heshima za mwisho zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru, jijini Dar mchana wa leo.Picha Kwa Hisani Ya Michuzi.

R.I.P Charles Masanja.

Advertisements

%d bloggers like this: