Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu!

October 18, 2009

Una kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kukuepusha na majanga kama haya, huwezi kuhisi uchungu wake mpaka yakufike. Mamia kwa maelfu ya watu walikufa na kukosa mahala pa kuishi kwenye mafuriko ya Huko Philippines wiki chache zilizopita, MBaya zaidi mvua zilianza kunyesha usiku baada ya upepo mkali na hivyo wengi wao walikuwa wamelala.

Advertisements

%d bloggers like this: