COUNTDOWN BEGINS……..A MONTH TO GO!!!!!

October 5, 2009

image


Chelsea bwana….! We acha tuu

October 5, 2009

Yaichapa Liverpool 2-0

image

Nicolas Anelka, akipachika bao la kwanza.

Ushindi ilioupata Chelsea leo unaipaisha kuongoza ligi kwa pointi 2 na magoli mawili zaidi ya mahasimu wengine Man U.

Jana ilikuwa Super Sunday kwa Ligi ya Uingereza kwa mechi zolizochezwa, Kati ya mechi za jana mech  ya Chelsea Liverpool ilikuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa si tu na mashabiki wa timu husika bali mashabiki wa kandanda.

Huku ikichezesha kikosi chake cha kwanza, Chelsea jana iliinyuka bila huruma klabu kongwe na wabishi Liverpool kwa mabao 2-o. Magoli ya Chelsea yalifungwa na Nicolus Anelka na Malouda.


%d bloggers like this: