Msanii aliyekatwa mguu afunga pingu za maisha!!

1244288864_img_0336

Msanii mahiri wa kike wa Maigizo Wastara Juma ambaye alikatwa mguu kutokana na ajali ya pikipiki amefunga pingu za maisha na mchumba wake Juma Kihowolo ‘Sajuki’ hivi majuzi. Sajuki na Wastara majuzi walifunga pingu za maisha na kuanza safari ya maisha mapya kama mke na Mume. Wasanii hawa wawili ambao wote kwa pamoja ni waigizaji na wamepata kuigiza pamoja filamu ya Mboni ya Jicho Langu walioona nyumbani kwa wazazi wa Biharusi huko Segerea.

Sajuki ambaye amepongezwa na wengi kwa kuonyesha mapenzi ya dhati kwa binti huyu kwani ikumbukwe ni hivi majuzi kama miezi miwili Wastara alikatwa mguu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na hivyo kumfanya kuingia kwenye ukumbi wa sherehe akiwa kwenye kiti maalum.

Kwa habari zaidi gonga hapa.

Advertisements

27 Responses to Msanii aliyekatwa mguu afunga pingu za maisha!!

 1. Anonymous says:

  Hongereni sana kila la heri katika ndoa yenu Mungu awape moyo wa uvumilivu, na afya njema awajalie watoto wakike na wakiume Amin

 2. leyla says:

  Hongereni sana wastara na juma Allah atawasaidia, me nawaombea kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa.

 3. nitakuembea mungu atgusaidia

 4. angela says:

  pore saana kwakukatwa muguu

 5. Patrick Muriithi says:

  HONGERA JUMA NA WASTARA.PIA NAKUSHUKURU JUMA KWA KUMUONYESHA WASTARA UPENDO UFAAO.POLE SANA WASTARA KWA AJALI ILIYOSABABISHA MGUU WAKO KUKATWA.MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU.

 6. ghazzalmulhat@yahoo.com says:

  Hongera dadangu na pole sana kwa ajali,nawaombea kila la kheri katika maisha yenu.Sajuki dumisha mapenzi.

 7. ZENA HAROUB says:

  Mambo? mumy wastara, kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa ushujaa wako unao uonesha kwa kusimama imara ikiwa km mwanamke ambae umejitolea kwa nguvu zako zote za kujikita katika sanaa na kujishuhulisha na mambo mengine ya kujiendeleza ktk maisha, wewe ni mwanamke unae stahiki kuingwa ktk jamii hii ya kitanzania.kwani ni wanawake wachache wanaojitolea km wewe.Nakupa big up kwa kazi kubwa unayo ifanya ktk shughulizako za kujikomboa na umasikini na kuimarika kiuchumi,ktk fani ya sanaa umepiga hatua kubwa sana kwani michezo yako yalivyo mizuri ambayo yanamaadili ya jamii ya kitanzani 1:yanaelimisha,yanaburudisha na kushajihisha jamii nzima kimtazamo 2:yanastahiki kutizamwa na jamii nzima ambapo huoni haya hata huchizama mbele za watu wazima. sio km michezo mengine unaona haya kutizama mbele za wazazi wako? kwa kweli umepiga hatua si mchezo mungu akubariki inshaalla utafanikiwa

 8. ibra says:

  pole sana dada kwa matatizo yalokukuta na mungu atakujaalia kheri ktk mzisha yako ya kila siku na akuepushie na maradhi mabaya ktk maisha yako

 9. chancelline seraphin says:

  I’m sos sorry wastara juma for what happened to you. My God be with you for the rest of your life. Congratulation for the wedding and more children. I hop your first child will a girl and please name her my name chance. I really love you movies with you husband.

 10. Winnie yawa says:

  Sry sis 4 wat hapned .congrats 4 ur wedding.we luv u in mombasa happy family

 11. Anonymous says:

  Kwanzo nakupa pole dadangu Wastara kwa yaliyokusibu hiyo yote kazi ya Maulana.Pili nampa mkono wa hongera kakangu Juma kwa kuonyesha upendo wa dhati na kukubali kama ulivyo ni wachache sana wenye mioyo kama yeye.Tatu napongeza maigizo yenu kwani ni yenye kuelimisha jamii na ni taswira kamili ya mambo yanayofanyika hapa duniani.Nawaombea Mungu awajalie amani katika ndoa yenu,idumu na awabariki na watoto.

 12. Sorry sana dada yangu kwa mkasa huo uliokupata! Japo ni nyuma kidogo ila inauma sana.mungu akujalie moyo wa uvumilivu na maisha marefu sana.

 13. nasser says:

  Pole dia kwa yte yalotokea..congrat..enshallah mungu ailinde ndoa yenu,sajuki hongera sana bro mependa ulivo na moyo mwema mungu awazidishie

 14. Anonymous says:

  nawazimia sana nyinyi watu wawili

 15. Anonymous says:

  anaemsumbuwa juma kilowoko ni shija ndo anaufaham ugonjwa wa sajuki kwakuwa tilipokuwa mwananyamala alisema hatovumilia kuona ndowa hiyo inafungwa lazima atakuwa muhusika mkubwa wastara funguwa macho yako uone mbali ulimwengu huu unamambo yaani mtatupa pesa huku na kule kumbe muuwaji wako ni SHIJA anafahamu saaaaaana chanzo hicho.wastara chukuwa ushujaa uiokowe nafsi ya mumeo na bila hivyo lazima shija atamuuwa pale unapomuona siye sajuki tena wa zamani bali unaishi kivuli cha sajuki fanya hima na wewe funguka macho mpeleke sumbawanga

 16. Said says:

  Pole kwa kumuuguza mumeo

 17. I like the helpful information you provide
  in your articles. I’ll bookmark your blog and check again here regularly. I’m quite sure I will learn a lot of new stuff right here!
  Best of luck for the next!

 18. Michael says:

  Usikilize maneno ya watu wewe simama imara na kuamin kuwa anatatizo fulan mwili naanatakiwa kutibiwa kwa daktari

 19. site says:

  You are so awesome! I do not think I have read through something like that before.

  So wonderful to find another person with genuine thoughts on this topic.
  Really.. thank you for starting this up. This
  web site is something that is required on the web, someone with some originality!

 20. yes says:

  sportstarehe.worldpress.com

  • This post could not be written any better! Do you have videos on the topic? Your writing style reminds me of my best friend back in New Jersey. I like your blog however, I am a terrible reader. Do you have Youtube videos on the subject?

 21. key madida says:

  sportstarehe.worldpress.com

 22. Me Sio Cha Ajabu Hapo, Ko Mtu Kutokuw Na Mguu Ndo Haolewi???!!!

 23. Range D says:

  Vingine Niviherehere Tu,kama Wewe Michael Ukaona Unecomentiiii!!? Any Way, Parsonaly Naona Hakuna Cha Ajabu Hapo Ko Mtu Kupoteza Mguu Ndo Amepotza Sifa Za Kuw Mke Wa Mtu?!!

 24. Keyd says:

  Vingine Niviherehere Tu,kama Wewe Michael Ukaona Umecomeeentiiii!!? Any Way, Parsonaly Naona Hakuna Cha Ajabu Hapo Ko Mtu Kupoteza Mguu Ndo Amepotza Sifa Za Kuw Mke Wa Mtu?!!

 25. Hadija juma says:

  Hongera sajuki na wastara mungu awatangulie katika maisha yenu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: