Mnenguaji wa FM Academia Queen Suzy ambaye kwa sasa yuko Malaysia ziarani na Bendi ya The Kilimanjaro Connections amepata mchumba ambaye anatarajia kufunga naye ndoa baadaye mwaka huu. Suzy ambaye amevalishwa pete ya uchumba na Mchumba wake huyo raia wa Uingereza anayeishi na kufanya kazi nchini Malaysia.
Awali Queen Suzy alivalishwa pete hiyo kwenye sherehe ndogo iliyofanyika kwenye Jengo la KLCC na kuhudhuriwa na baadhi ya Wanamuziki na marafiki wa karibu wa pande zote.
Suzy anatarajia kurejea nyumbani baadaye mwezi ujao baada ya mkataba wao kumalizia na amesema mchumba wake pia anatarajia kwenda Tanzania mwezi July ambapo taratibu nyingine zitafuatwa.
Suzy ambaye yuko Malaysia tangu mwezi wa december mwaka jana akiambatana na wana mkorogo, pia amepiga mafanikio kwenye sekta nzima ya muziki kwani kwa sasa pamoja na kucheza pia ameanza kuimba chini ya gwiji muimbaji mkufunzi Delphinus Mununga (mdogo wa marehemu Kasheba), “kwakweli nafurahi mafanikio yangu kimuziki ningependelea kuimba zaidi kwani sasa nakiona kipaji changu cha muziki” alisema Suzy alipokuwa akiongea nami katika kiota chao cha Rum Jungle.
Queen Suzy akiwa na mpenzi wake kisiwani Lang’kawi-Malaysia.
jamani hizi sasa ni laana kweli binti mrembo km wewe unaweza kuolewa na mbabu anayeweza kumzaa babako hata akismama? utumwa huu, hata km ni dhiki sio kwa style ndg zangu.. km kwa mungu kesho kuna moto, kweli tutachomwa vibaya!
jamani mbona bongo vizee vinaoa wa miaka 15,kaamua mwenyewe. mungu hachomi mtu kwa kuolewa na mzee dini gani hiyo???
hii kweli dhiki!!
Acheni roho za kwanini mpongezeni kwa kufikia hatua hiyo
Sio kila kitu mnaponda mnakuwa watu wa namna gani nyie hamridhiki jamani? akigawa mnasema, haya anaolewa bado mnasema.
loo? hamuoni haya mwenzenu kapata bahati kabla mumpongeze lakini mnamponda kama kumpenda kampenda mwenyewe nini kinawaumeni? hamjui kama ni fasion kijana kuwa na mzee namzee kuwa nakijana? mbona majimama wanachuuwa ving’asti hamuwasemi jamani?
hongera mwaya queen suzy kupata mchumba nibahati kubwa wanawake wangapi wanahangaika hapamjini wanakwenda mpaka kwa waganga kujiloga ili wapate ndoa? hata usivunjike moyo uamuzi niwako mama. hongera sana hatamimi nakutamania sana tangu nizaliwe sijawahi kupata bahati kama yako naishia kuchezewa tu nakuachwa
bwana asifiwe mdogowangu, ubalikiwe katika bwana nijambo labusara kuolewa kama umempenda mwenyewe usivunjike moyo ndoa nimakubaliano sio umli. nawatakia amani katika bwana muweze kufanikisha malengo yenu namuishi milele amina
wewe acha izo mapenzi hayachagui umli bwana imladi kalidhika mwenyewe acheni wivu mlitaka awe changudoaaaaaaaa?
wewee…nakupa big up mamy nitafutie namimi mmoja jamani hata akiwa mzee kuliko wakwako pls Queen Suzy tumetoka mbali nimechoka kuangaika natamani ndoa
nani kakwambia ndoa ni passport ya kutohangaika?
wangapi unawajua wameolewa na kuoa na wanahangaika utadhani Ronaldo anatafuta bao kwa Barcelona?
mmmmhh…jamani? kiumli nimkubwa kweli lakini sikampenda mwenyewe ninyi kinawauma nni? kwaraha zako mwaya Queen Suzy jiliege mwaya
kwasana tu mama hongera tumeangaika sana hongera umeukata kukata viuno kunamwisho heriyako umeisha ukata kimaisha kama kunamashemeji zako nishitue namie nimdake mmoja pls Queen Suzy nimechoka kubadilisha mabwana
Queen suzy?….Queen suzy siamini kweli umepata mchumba tena mzungu…du? unabahati sana wacheza shoow wangapi tunahangaika hapa dar tumesafiri sana uarabuni lakini hatujapata bahatikama yako? hongera sana
queen suzy….mimi nishabikiwako sana nimekuwa nikikufatilia sana maisha yako yakimapenzi tangu bwanawako wakwanza mpaka huyo Kalala jr mpaka mlipo achana ulikuwa namitihani sana na huyo Kalala ktk mapenzi yenu.so kama umempata huyo mtumzima naumempenda tulia mama kubali ndoa inaraha yake naitakujengea heshima usijali utuuzima wake cz ulikuwa navijana wenzio wangapi? nawamekufanyia nini chamaana km sio kukuzeesha tu nakukuhalibu usichana wako? angalia maisha yako mwanangu maisha hayo watu wanatafuta ndoa kwa ilizi bahati haziji marambili mama kila laheri mungu awabariki ndoa yenu iwe amen
Amina Rusharoho wacheza shoow ni tabu kumpata mtu wa kuwaoa kwanza hawaminiki na kazi mnayofanya haimvutii mtu akafikiria kuoa, utakuta mcheza shoow mmoja yupo na wanaume 10 inakuaje, na mcheza shoow yeyote yule huwa hana kitu kinaitwa au najua mapenzi mapenzi yake ni katika pesa kumchuna mtu tu au kitandani yamekwisha, lakini wazungu hawajui hayo yeye ni mweupe na hicho kisuzy ndio zake kama nilivyosema kwa wacheza shoow kwani yeye kakipenda kweli hicho kibabu cha kizungu mnajua lengo lake ni nini hapo (pesa tu).
yni huyo anaonekana laivu kafuata mahela hana lolote
achen wivu !kama kafuata pesa ,tafuta na ww wako umchune unafikiri ni rahisi.Hongera dada wenye wivu wajinyonge
Wallah waswahili mtakufa na kijiba,
Jitahidi mdogo wangu hao ndio wenyewe hakuna ccha kalala wala nani wazushi tuu, wenzio tunalambwa na kuachwa Bongo waoaji wachache shosti,
Aminiaaaa
Dada yangu usife moyo hao ving’asti tuu
Tulia mwanangu.
Mdogo wangu kila la heri katika maisha yako vijana hapa hawana lolote watakuchezea tuu.
Hongera mamaa he is handsome
Ni bahati yake kuchumbiwa..akibaki bila kuolewa mnasema malaya inakuwaje wa tz..acheni hizo
hongera dada nibahati na wala si tamaa
sijaamini mdogo wangu hongera usife moyo bahati aiji marambili mama
dada yangu mi nakushauri kitu kimoja tu ukishafunga ndoa akikisha mwaka wa kwanza unamzalia mtoto mmoja yani maisha yenu yatakuwa ya raha sana maana yake jamaa atajivunia sana kwa wenzake na nguvu yako katika familia itaongezeka…
usisikilize majungu kila mtu na bahati yake…..
tena huyo mzee anaonekana ana vijisenti kwa hiyo usisahau kwenda kufuta ujinga kashule tu ka kawaida ambako katakufungua macho zaidi
watu wanapata shida sana kupata makaratasi ndio maana unaona waosha vinywa wengi wanakuonea wivu
na ukipata mtoto usisahau kumweka katika blog ya jamii ili watu waendelee kuumia roho
I wish you a happy marriage….
queen suzi nisikufiche mchumbawako mzuri sana sijui enzi zaujanawake alikuaje hongera sana mamy kila laheri usinisahau kadi yamchango queen
kila laheri dada queen suzy huyo mzungu anabahati sana natamani ningelikuwa mie nimekupata uwe mkewangu queen suzy nakupenda mudamrefu sana ila nilikuwa nakuogopa nigeanzaje kukwambia harusi njema suzy
mmmmm….mie sisemisana queen suzy unabahati nimzuri sana mchumba wako na mtumzima ndio mwenyewe cz vijana wasumbufu hawanampango watakuzeesha tu olewamwaya
queen suzy hiyo niheshima katika wanamziki mlio leta historia yakuwa namaendeleo waschana ni jescar chaless , miley mbombo, na wewe mnamaisha mazuri mnamakwenu mnamagari yenu miley kaolewa napedejee lamjini jescar kaolewa namzungu nawewe unataka kuplewa namzungu nibahati wacheza shoo wangapi wamesafili hawakupata bahati namaendeleo kama yenu olewa mama mwenyewivu ajinyonge tena ukimleta bongo kuwa makini nae haohao wanaesema nimzee ndio watakao kuibia. kila laheri mamy love you
weweeee… anae sema mzee nani???? mshamba sana huyo kakwambia nani mzee hasimamishi? kwataarifayake wazee diri sasahivi mabinti kama mie tunapenda vijibabau vijana hawajui mapenzi sikuhizi wazee dili mtoto na jibaba na kijana na jimama ndio dili queen suzy jilie kwarahazako
nani anasema usenge kama huo? kwani queen suzy anautotogani? mpaka asiwe nahuyo mzungu? kwani kaanzaleo mapenzi? suzy mzoefu namambo hayo na wala si mtoto tena cz tayali anamtoto kwahiyo huyo mzungu nisaizi yake kabisa…mbona mie nimdogo kuliko queen suzy lakini nina jibabu langu hapahapa dar tena mkubwa kuliko wa suzy? acheni udaku wajinganyie kilamtu namaisha yake
queen suzy usimuache huyo ndio mwenyewe hatamie natafuta babu kuliko wako cz ndio dili kwasasa majimama na ving’ast na mabinti na majibaba jiachie usihofu hiyo yote chuki lakini haisaidiiiiiii hatakidogo umeisha ukata suzy big uup
Mmmh mwanangu maisha yenyewe haya…apendwi mtu kinachopendwa ni hela tu na mapenzi ya Dhati kama Jibaba linakufikisha we jiache tu tena kwa sana. mambo gani kumponda wakati ndo kashazimikia, ina maana hamjui tikisiko la uCHUMI LA DUNIA AU?????? EBO
Otea, acha wivu huna lolote kama ni choo umeingia cha kiume
Maisha ni step, ukiipatia wewe na wenzako wataangalia nyingine inayowafaa. umri sihoja, hoja ya msingi binti ameridhika toka moyonoi? na anaamani kuolewa na mnayesema babu? na je yeye amechagua au amechaguliwa? na nini kinakufanya umuone babu? au kwasababu hafanani ya huyo chalii uliyemuokota mitaani ukamfanya mmeo? au umemuona hawezi kukidhi haja ya kimapenzi ya huyo binti? yangoswe mwachieni ngoswe. halafu pilipili iko shambani inawawashaje? mbona haumsemi babu yako aliyemwoa mtoto mliyemaliza darasa moja baada ya baba wa binti kushindwa kumpeleka sekondari mtoto wa kiume? au kwasababu binti ni wakiafrika ndo mnasema dhiki, mbona yavijijini kwetu yasiyoonekana kwenye magazeti hatusemi. Kucheza kila mtu anaweza, lakini step kila mtu ana zake wala haziwezi fanana.
jamani wadada wa kibongo mna uroho sana na watu weupe, kawadanganya nani huko ndio kufanikiwa, mnaacha kutafuta pesa kwa njia nyingine mnakazana na wazungu, hao ni wafiraji tu na huyo baba kwa queen suzy alitaka mwinyu basi, kashamwinyuka nae kamla chumvi imetoka, kakuta imechoka, pole weeeeeeeeeee, endelea kukata mauno, imekula kwako dada
uchumba unaye
safi sana quene suzy,nakutakia kila la heri,sisi yenyewe 2natamani kuwa kama we,lakini hatuna hiyo bahati?
Ongeraa.,
You might have just saved me a lot of hassle just now. You must be really proud of the work you’ve done here. I couldn’t help myself from commenting. Kids today really need to pay close attention to this sort of data or they’re going to have a really hard time later on in their life.
Very nice article. I just stumbled upon your article. My dad wants to be a teacher in this field. Crazy odd, when I opened my computer this page was already running. Can you someday tell me more about thistopic?