Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia….

WaPi ni tamasha la sanaa linalofanyika kila mwezi. Tukio hili linakusudia kutoa nafasi kwa wasanii wanaochipukia kushiriki na kuthibitisha vipaji vyao.Katika Muhula huu tunakusudia kuanza kulipeleka tuko hili katika baadhi ya shule ili kuchochea ushiriki wa wanafunzi zaidi katika mijadala na sanaa.

Tunatarajia pia kushirikiana na baadhi ya taasisi mbalimbali ili kutoa nafasi za kujiendeleza kitaaluma na kisanii kwa wale watakaoonyesha juhudi na mwelekeo mzuri.

Tukio jingine jipya katika muhula huu ambalo litawezeshwa kama kawaida na BRITISH COUNCIL ni ubunifu na usanifu mitindo.

Mada ya safari hii katika WaPi ni ANGUKO LA UCHUMI DUNIANI…. Tunatarajia kushirikisha wadau mbalimbali katika kujadili athari za mtikisiko wa uchumi hapa kwetu. Pia hii ni nafasi muhimu ya kuangalia ni kwa jinsi gani jamii ina uelewa katika tatizo hili na namna ya kukabiliana nalo.

PROGRAMU ITASHIRIKISHA:

Waongozaji wa tukio kutoka WaPi Zanzibar

DJ Cool Para

Jukwaa la sanaa za Mikono

Mwl Muchi kutoka Nyumba ya Sanaa Zanzibar atasimamia warsha fupi juu ya sanaa ya uchoraji kwenye Kona ya MAARIFA

NEW GENERATION katika uchezaji na sarakasi

Mjadala wa mada

USHINDANI WA MAEMSII

Kimanumanu Kidumbak

Wamo Sanaa group katika Ngoma asilia

Pamoja na wasanii anaokuja juu katika Hip Hop Zanzibar..Chaby Six na Mr Mvuto

Mengineyo ni pamoja na Tenzi, Upambaji, Uchezaji na upigaji wa ala mbalimbali…MAHALI NI NGOME KONGWEAlhamisi tarehe 28-05-2009 kuanzia saa 9 alasiri hadi 2 usiku

Hamna kiingilio

16 Responses to Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia….

 1. janeth says:

  jamani mbona siwaelewi

 2. Gloria says:

  Or maybe he like bowlіng.? Lee continued. ?Iheard somebody say tһat once you hear tһunder,
  that means that God is boᴡling in heaven. I wager
  he is actually good at it.

 3. Arianne says:

  Faça mesmo com todas as flores, preenchendo a tiara. http://www.danielforand.com/forum/member.php?u=1279

 4. education 300 x 250 h 7 d A

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia

 5. Convert Cdr File Website

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia

 6. candidate перевод

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia

 7. Vrdproduccionanimal.com

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 8. discovery education Videos

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 9. Medical health app

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 10. How To Create A Lead Generation Website

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 11. Lead cost controller salary

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 12. judi tembak ikan

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 13. judi dadu says:

  judi dadu

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 14. dadu online terpercaya

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 15. click through the up coming post

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

 16. agen tembak ikan online uang asli

  Muhula wa Pili wa WaPi Zanzibar umewadia…. | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: