Maisha Plus: Nani kuibuka na M 10,000,000????????

maisha plus

Washiriki 10 tayari wamebakia kwenye mtanange wa Fainali ambapo hapo mmoja ndio ataibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Reality Show ya Maisha Plus.

Pamoja na vigezo vingine kura yako ndio itatoa mshindi hivyo shime piga kura sasa.

Namba za kupiga kura ni hizo hapo chini ikiambatana jina na namba ya mshiriki.

Abdul …………32
Maulid ……….33
Upendo …….18
MOdesta …..37
MOshy ….…..19
Charles ….…11
Steve ……….14
Boniface …..20
Hamis ………23
Teddy ………36

Je Nani anafaa kunyakua zawadi?

Advertisements

112 Responses to Maisha Plus: Nani kuibuka na M 10,000,000????????

 1. ainnothy says:

  what up there!!!!!!!!!!!!!!
  do charse ur the rockkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk

  ur supose mennnnnnnnnnnnnnnnn.do men mkal kwe kwel

  ur the winner my home pot.

 2. ainnothy says:

  what up there!!!!!!!!!!!!!!
  do charse ur the rockkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk

  ur supose mennnnnnnnnnnnnnnnn.do men mkal kwe kwel

  ur the winner my home pot.

 3. tabitha says:

  hi guys let me congr 2 ma men charse the wnner to be bellesed men all the best bigggggggggggg uppppppppppppp

 4. leah says:

  u guys are all good but a t the end of the day one has to win. . . as far as am concerned charles has proven himself to be very competent. . .keep it burnin man. . .coz u r the man!

 5. kivuyos says:

  do charsle ni sooooooooooooooooooooooooooooooo.

  anastahili mchongosssssssssssssssssssssssssssssssss.

 6. vote charsle

  vvote charsle

  vote charsle

  vote charsle

 7. redemta says:

  vote 11
  2b a king of kings

 8. aisha mohammed says:

  napenda kuwapongeza maisha plus pia nami napenda nihudhulie huko kijijini nije nione tu ni mtangazaji wa radio kheri fm ilipo jijini dar s pia ni mwanafunzi chuo cha uandishi wa habari dar (dsj) kilichopo ilala naomba niwe na nyinyi wakina masoud sababu nitajifunza mengi naomba niwe rafiki yenu jaman

 9. Seif says:

  Abdul, anastahili kuchukua hicho kitita.

  Naitwa Seif from Arusha.

 10. pendaeli says:

  aise bwana masuadi hizo kura ni vipi mnaziesabije??coz mchizi no 11 alikuwa juu kwa sasa amwporomoka?inakuaje????

 11. MAZIMPAKA from RWANDA-KIGALI says:

  abdoul ameshinda ngugu zangu,bahati hazipaganiwi

 12. zainab says:

  charles should be the winner

 13. jovita says:

  ABDUL apewe million kumi

 14. koku says:

  Abdul should be the winer MAISHA PLUS

 15. Six says:

  Whats up men Upendo yuko juu kwanza ana upeo wa mambo ni creative anajiheshimu kwanini asipewe m 10 hata msipompa Mungu atamsaidia.

 16. kivuyo says:

  aisee no 11 the winer

 17. kivuyoS says:

  CHARLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS BIG UP MA MEN

 18. Amina says:

  Charlz is the winner of 10m.

 19. aneth says:

  11 Big up,guyz, u ar the winner

 20. Mdee says:

  Let Charles be the winner.
  I will be happy.

  From Zanzibar

 21. Msoffee says:

  Charles awe mshindi
  anafaa sana na kuweza kuendeleza masomo yake
  Beatrice

 22. Mang'he says:

  Charles No 11 awe mshindi wa mil 10
  anafaa sana wengine wachawi kama Upendo na Abdul

  Musoma

 23. Mama Ghairun says:

  Charles anafaa sana nashangaa kwanini hamumuonyeshi tatizo ni nini

 24. Nesta says:

  Charles apewe million kumi.Hatumwoni mtu wetu kwenye Runinga.Tatizo liko wapi?

  Arusha

 25. Sia says:

  Charles anastahili milion 10 maana ametulia atazifanyia kazi

 26. Key says:

  Charles ana kura nyingi mbona hatuzioni?
  Masudi angalia my friend.
  Na hatumuoni kwenye Runinga.anaumwa?

  Naomba Charles awe winner wa Milion kumi.

  From Mwanza.

 27. Godliving Mkindi says:

  Charles anafaa

  arusha

 28. JUMA ADAM says:

  ABDUL APEWE M 10

 29. JUMA ADAM says:

  ABDUL MSHINDI WA MILIONI 10

 30. nasra says:

  Abdul ndie mshindi apewe million kumi jamni

 31. upeno marwa says:

  mimi naona ABDUL anafaa kw izo million kumi kupewa kabisa

 32. frida says:

  addul yuko juu sana kama zain vile mi nampa million kumi

 33. fatma says:

  ABDUllllllllllllllllllllllllllllll apewe

 34. STEVE says:

  Heeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni kimaisga plus iyoooooooooooo mimi mtoo wa kijito napenda mzee wa kijiji awe Abdul ndio baba yo atuangalii chaz kakaa kibitozi wakati yupo kijijini msiseme mstacharabu ana chochote mi ananiboa uyo chaz wenu yuko ki artificial sana ila ADBUL yupo natural sanaaaaaaaaaaa

 35. kihongo says:

  Abudul ni Nimo jamani apewe izo million kumi

 36. Godliving Mkindi says:

  charles anafaa

 37. Sarah says:

  acheni uswahili charles anafaa tena sana,

 38. Joakim says:

  Hamisi apate hizo milion kumi.
  namfagilia sana.

  From Mbeya

 39. Anonymous says:

  abdul anafaa kupata kitita cha million 10.

 40. Anonymous says:

  namfagilia abdul

 41. Anonymous says:

  Abdul is the winner!!

 42. Anonymous says:

  Adul Hana Mpinzani

 43. Anonymous says:

  Abdul ashinde

 44. gift says:

  Jamani Charles anafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 45. christer says:

  Charles anafaa sana kupata m. 10

 46. dayness says:

  11 anafaa kumpa milioni 10

 47. Rita says:

  Moshy anafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 48. petro says:

  moshy mpeni m. 10

 49. juma says:

  Abdul safi million kumi zake izo

 50. hussein says:

  ABDUL anafaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaaaa

 51. kadidi says:

  Abdul yuko juuuuuuuuuuuuuu

 52. jacob tarime says:

  ABDUL ANAFAAAAAA SANA JAMANI

 53. SIS FAMILY says:

  ABDUL mzenji yuko juu sana au sio kipanya

 54. malebo says:

  Abdul million kumi yako baba bado wiki moja tu komaaa au sio

 55. mary songea says:

  ABDUL nakufagilia uko juu upate million kumi baba

 56. solder group says:

  Abdul uko juu sana sisi tunakuombea dua upate million kumi au sio

 57. lusekelo says:

  Abdul uko juu sana

 58. fred says:

  BIG UP ABDUL MILLION KUMI NI ZAKO KAKA

 59. MABULA says:

  Abdul uko juu sanaaaaaaaaaaaaa mi nakukubali wakupe million kumi faza

 60. mutashobya says:

  Abdul uko juuuu sana kaka yangu infact napenda wakupe million kumi waitu

 61. yusuph says:

  izo apewe HAMIS hana makuu na wenzake kabisa yupo juu sana hamis ajawai kuingia kikoangioni han makuu

 62. george says:

  ABDUL OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE UDUMU KAMA CCM NAPENDA MILLION KUMI UPATE WEWE

 63. MAZIMPAKA from RWANDA-KIGALI says:

  ABDOUL AMESHIONDA NDUGU ZANGU.BAHATI HAIPIGANIWI KWANI BAHATI UNAZARIWA NAYO/JAMAAA AMEPEREKA MIRIONI KUMI/YAANI AMEFANYA KAZI KWA MIEZI MIWIRI AMEPATA 10.000.000 WAKATI KUNA WAZEE AMBAO WAMEFANYA KAZI MIAKA KARIBU ISHIRINI BIRA KUPATA PESA HIZO.SO HIYO NI BAHATI ZAKE KWAHIYO MUMUACHE ABDOUL APEREKE PESA AMESHINDA
  HONGERA ABDOUL CHUKUA PESA HIZO NA UZIFANYE MTAJI IRI UANZE BIASHARA YAKO

 64. MAZIMPAKA from RWANDA-KIGALI says:

  ABDOUL AMESHINDA NDUGU ZANGU.BAHATI HAIPIGANIWI KWANI BAHATI UNAZARIWA NAYO/JAMAAA AMEPEREKA MIRIONI KUMI/YAANI AMEFANYA KAZI KWA MIEZI MIWIRI AMEPATA 10.000.000 WAKATI KUNA WAZEE AMBAO WAMEFANYA KAZI MIAKA KARIBU ISHIRINI BIRA KUPATA PESA HIZO.SO HIYO NI BAHATI ZAKE KWAHIYO MUMUACHE ABDOUL APEREKE PESA AMESHINDA
  HONGERA ABDOUL CHUKUA PESA HIZO NA UZIFANYE MTAJI IRI UANZE BIASHARA YAKO

 65. asra mamah gilibwa2 says:

  pendo anafaa kupata milion kumi ni zake ili aweze kizitumia kama alivyo ahidi kusaidia watoto waishio katika mazingira magumu

 66. asra mamah gilibwa2 says:

  pendo millioni 10 zako

 67. abduly says:

  acha sifa utashinda

 68. janeth says:

  Charles anafaa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
  kupata m. 10,000,000

 69. silvia says:

  charles apewe m. kumi

 70. Burugu says:

  jamani charles mshindi wa m. 10,000,000

 71. Rhoda says:

  milion kumi ziende kwa charlessssssssssssssssssss

 72. Agnes says:

  chaz apate hizo fedha, kwanza anastahili, hana skendo yoyote ndani ya maisha plus

 73. ainnothy says:

  charles the winner

 74. tanu siri says:

  aisee charse ni noma anafaa kuchukua hayo mapesa

 75. jamanieeeeeeeeeeeeeee charse ni mona mchizi ndyo mshindi wetu babu

 76. jamani no 11 ndiyo winer nani anabisha?

  from serengeti

 77. green term says:

  chaz babake ni king mpeni majala yake tafathali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!do hiyo ni soooooooooooooooooo asikuambie m2

 78. aisee masudi mnampendelea huyo jamaa wa kipemba kila dakika mnamuonyesha yeye hadi ndiyo mwenyewe analitambua hili nini maana ya ushindani kama ndyo kubebena????????????kuna watu wengi sana wazungumza kuusu hilo syo fea kama tayari mnamjua mshindi.si bora basi mkatishe 2 coz tayari mnataka kumpa huyo jamaa ama ndyo undugu naizasheni.cjui mtaaribu kama bongo starserch walivyo boronga.cc watazamani msitufanye vitoto.inaumaa masela

 79. Triple P says:

  Chaaaarles anastahili hizo M 10

 80. ainnothy says:

  chaz ur the winer ma men

 81. BEATRICE MBUHILO says:

  Steve no 14 anastahili m 10,000,000. Ametulia

 82. ramadhani salehe lugoma says:

  ABDUL ameshinda kwanini msimpe pesa zake coz anafaa sana

 83. Ramadhani Mujuni Abdul Ismail says:

  Abdul apewe kwani mambo yake yanatufurahisha yaani utafikiri kazaliwa huko huko kijijini. Tunamfagilia wa waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 84. emypoyo says:

  ABDUL Ana haki ya kushinda. pamoja na majungu.fitna, na ubaguzi anaofanyiwa. dharauzote anazoonyeshwa habadiliki.APEWE 10M. Anastahili.

 85. emypoyo says:

  ABDULLLLLLLLLLL.10M

 86. iftihaam says:

  abdul kiboko milioni kumi zako mzee huna shaka.
  abdull ana subira mungu akuzidishie.

 87. emypoyo says:

  ABDULL Apewe 10m zake

 88. emypoyo says:

  ABDUL Anastahili kupata 10m kwanza anajua jinsi ya kuishi na watu,Mvumilivu,Anaakili,maarifa na juhudikubwa ktk kutafuta Maisha.na anamjua Mungu.

 89. emypoyo says:

  nilimpenda sana upendo haswa kwa kiwango chake cha ufahamu kama mschana,Lakini lo! MBAGUZI,MMMBEA YEYE NAHUYO MODE.Wanajitia kujuasana kila kitu haswa huyo Pendo.siwapi kura yangu ng’ooo.KURA YANGU NAMPA ABDULL

 90. Georgina says:

  18 yuko juu mpe milioni kumi zake msimbanie

 91. nyanjobhe says:

  daa! abdul uko juuuuuu bana japo sumtymz huwa unaropoka ila kimaisha plus bana unayawezeaaaaaaaaaaaa.

 92. nyanjobhe says:

  jamani hata stive nampa hieeeeeeeee, japo nindugu yangu ila daaaaaaa! unafaa ila uko mpole sasaaaaaaaaannaaaaaaaaa babaaaaaaaaaa

 93. emypoyo says:

  ABDUL Simama imara kaka unastahili ushindi. na hakika upo hapo kwa ajili ya 10m nasio wanawake uchwara hao ndio mana wana jazbaaa hehehe nacheka kimaisha PLUS. ABDUL ANASTAHILI 10M

 94. Kaijage says:

  Mpeni Teddy hizo milion 10 acheni kumbania yupo juu
  ebana teddy komaaaaaaaaaaaaaa.

 95. john says:

  yap!! ebwna abdul anatisha apewe hizo pay apeleke ushindi zenji

 96. Michael says:

  dahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!! Upendo yupo juu.
  anastahili kupewa milion 10.

 97. Michael says:

  Ukweli unabaki palepale kwamba Upendo anastahili kupewa million kumi kwani maisha anayaweza.

 98. faisal says:

  Adull anafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kula uo mkwanja coz mshkaji anatisha.

 99. ABDUL IS THE WINNER MEN

 100. NI ABDUL TU 10M CHUKUA KAKA

 101. WOTE TUMKUBALI ABDUL KWANI ANATISHA SANA 10 MILION NI ZAKE

 102. Michael says:

  upendo yupo juu apewe million kumi

 103. pn says:

  charlceeeeeeeeeeeeee go for the money boy. unafaaaa saaaanaaaaaaaaaaaa

 104. noely says:

  hoyaa masela charles ni noma anafaa usipime mpeni hayo majala,,,,,,,JAMAAAAAA ANAWA!!!!!!!!

 105. SALAMA WAA says:

  Mwadela bhabha!!!!!!!!Charles ni kiboko mpeni mahera

 106. vote no 11 ninhage mahela

 107. Anonymous says:

  BON APEWE CHAKE ANASTAILI KAKA

 108. Fantastic post but I was wondering if you could write a litte more on this subject? I’d be very grateful if you could elaborate a little bit more. Bless you!

 109. Nice information, excellent and useful style, as share excellent stuff with fantastic tips and concepts.

 110. Currently it sounds like Expression Engine is the top blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: