Ukiwachukulia poa vijana wa Mwema shauri yako!!

April 18, 2009

Tuna mchezo wa kutukuza vya wenzetu, sasa we ukiwachukulia poa shauri yako!!


Maisha Plus: Nani kuibuka na M 10,000,000????????

April 18, 2009

maisha plus

Washiriki 10 tayari wamebakia kwenye mtanange wa Fainali ambapo hapo mmoja ndio ataibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Reality Show ya Maisha Plus.

Pamoja na vigezo vingine kura yako ndio itatoa mshindi hivyo shime piga kura sasa.

Namba za kupiga kura ni hizo hapo chini ikiambatana jina na namba ya mshiriki.

Abdul …………32
Maulid ……….33
Upendo …….18
MOdesta …..37
MOshy ….…..19
Charles ….…11
Steve ……….14
Boniface …..20
Hamis ………23
Teddy ………36

Je Nani anafaa kunyakua zawadi?


%d bloggers like this: