Dogo Mfaume, aupigisha hatua mpya Mchiriku

do5

Dogo mfaume baada ya kupokea zawadi, Picha na Muhidin Issa Michuzi.

Kama mageuzi ya muziki wa kizazi kipya kutoka muonekano wa muziki wa kihuni hadi muziki ambao kwa sasa imekuwa ni ajira rasmi kwa vijana kwa kuwa wengi wao wamefanikiwa kimaisha kutokana na muziki huu, haina haja ya kuwataja msomaji kichwani unao wengi tuu.

Muziki wa Mchiriku nao ukiutaja mtu anaona kama ni aina ya Muziki wa watu fulani kwenye jamii na huko wahuni wote utawakuta.

Mwanamuziki Dogo mfaume anauweka muziki huu kwenye chati nyingine baada ya kunyakua tuzo ya mwanamuziki bora Nyimbo za asili.

Ama kwa hakika mapokeo ya Muziki huu yanaweza kuwa mkombozi kwa vijana kwani yapo makundi mengi ya Muziki huu na wengi wao ni wale wanatoka familia za kawaida kabisa za wavuja jasho. Binafsi nawapongeza waandazi wa Kilimanjaro award kwa kutambua tabaka hili la Muziki na kuuweka kwenye chati ya Tuzo zao.

Michuzi ana picha kuhusu tuzo hizo Gonga hapa kuziona zaidi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: