Mchinga Sound Kumkumbuka Mudhihiri!!

muumini Wasanii waliokuwa wanaunda bendi ya muziki wa dansi ya Mchinga Sound ambayo ilipata kutamba sana enzi hizo na miondoko yake ya ‘Kipepeo’ wamejikusanya upaya kwa lengo la kumpa pole Mbunge wa Jimbo la Mchinga (CCM), Mudhihir Mudhihir aliyekuwa mmiliki wa bendi hiyo.

Katika kufikisha salamu hizo za pole, wasanii hao wamepanga kufanya onesho kubwa walililolipa jina la Usiku wa Mchinga linalotarajiwa kufanyika Machi 28, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Vatcan City Sinza ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Mhe.Mudhihir.
Baadhi ya wasanii nyota waliokuwa wanaunda Bendi ya Mchinga ambayo ilisambaratika ni Muumin Mwinjuma, Rogath Hega Katapila,Deo Mwanambilimbi.

Pichani Muumini Mwinjuma (kulia) akichonga na baadhi ya waandishi wa habari ndani ya Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam mapema leo.

Habari na Picha kwa hisani ya Global Publishers – GPL

3 Responses to Mchinga Sound Kumkumbuka Mudhihiri!!

  1. From my little narrowing of view I would tend to disagree later that. There are not evidences nor certain proofs of that but I will depart the more experts forum bloggers to tell it augmented than I could like my poor words. Too many era we helpfully consider others and the others’ ideas without having a positive conformity of the situation or of what these people may be going thru. We’re often too superficial and this makes us throw our judgements without reflecting upon the topic enough. This is my 2 cents. IMHO.

  2. Pretty great web site and fantastic and articles or blog posts.valuable style and design, as share superior stuff with good suggestions and concepts.

  3. Please let me know if you’re looking for a writer for your blog. You have some really great articles and I think I would be a good asset. If you ever want to take some of the load off, I’d love to write some content for your blog in exchange for a link back to mine. Please blast me an e-mail if interested. Thanks!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: