"U-MODO": Blog Mpya Yenye Lengo la Kuinua Umodo Tanzania!!!


Ikiwa chini ya mdau mkubwa na mahiri kwenye kazi ya utangazaji, uwana mitindo, ugundua na kuinua vipaji vya vijana wengi nchini Tanzania, Taji Liundi a.k.a Master T. UMODO blog here we go!

Kama wewe ni kijana/binti mwenye kipaji au wahisi unasifa ya kuwa modo na upo Tanzania, basi husisite kutembelea U-MODO blog waweza kupata nafasi ya kutoka katika staili ya "nitoke vipi".

Pichani: Picha kutoka U-MODO blog ikionyesha kazi nzuri kutoka kwa mwanamitindo Fatma Amour, kakakuona. Habari zaidi-> U-MODO

Habari na http://total-knockout.blogspot.com/

Advertisements

24 Responses to "U-MODO": Blog Mpya Yenye Lengo la Kuinua Umodo Tanzania!!!

 1. Saad Abbas says:

  Naitwa Saad Abbas ni kijana mwenye umli wa miaka 21 elimu yangu ni kidato cha nne,
  Napendelea sana swala hili la kujiusisha na umodo ila sijawai shiliki zaidi ya kujidizaini mwenyewe napenda sana kutoka moyoni sijajua njia za kujiunga nanyi nawaludishia kwenu wapendwa sijui mtanisaidiaje.Natokea dar es salaam kwa sasa naishi Bagamoyo
  AHSANTE NDUGU WAPENDWA.

 2. HOPE EMMANUEL says:

  Habari ndugu naitwa Hope Emmanuel ni mvulana wa miaka I9 elimu yangu ni ya kidato cha nne naombeni mnisaidie niwe modo

 3. Martin Moses says:

  Hi..this is martin 18years old.Form 4 graduate naamini nina kila sifa na kigezo cha kuwa modo. Sikuwa na msaada mkubwa ila am glad i found you guys I hope ntapata msada kwenu

 4. Hope Emmanuel says:

  Habari, naitwa Hope Emmah ni mvulana wa miaka 20, nimemaliza kidato cha nne, nina sifa na vigezo vyote vya kuwa modo, naomba msaada wenu ili niweze kutimiza ndoto zangu

 5. Tinnah says:

  My age is 19, i want to be a modo , how can i do? help me.

 6. I need your help! I want to be modo help me!

 7. SIA ARON TILLYA says:

  am18 yers old daaaa please save my talent.. i real need to became a super modo but i dont have any support and i believe i can do better please help me

 8. Anonymous says:

  naitwa janeth na umri wa miaka 19 napenda modaling nilikuwa nahitaj ushirikiano kufikisha malengo yangu.

 9. Gigito says:

  Naitwa Gigito Igambwa na miaka 20’Natamani kutimiza ndoto za kuwa modo.Naombeni mnisaidie kutimiza ndoto zangu.

 10. ukiamini nini unahitaji,na ukawana nia ya kufanya jambo hilo kwa hakika utafanikiwa

 11. Anonymous says:

  naitwa peter musso natokea sinza napenda saana umodo kuliko kaz nyingn yoyote ila sijapata the rght way yakutokea naomben msaada wenu 0672927695

 12. Abbad Abdallah says:

  Naitwa Abbas naishi Arusha nasoma form 3 nina miaka 17 kiukweli napenda u-modo kutoka ndani nilikuwa naomba kufaham jinsi ya kujiunga

 13. Abbad Abdallah says:

  Abbas namba zangu ni 0764330231 au 0689436519

 14. peter says:

  naitwa peter john napenda umodo naniko tayar muda wowote umri miaka 20 arusha moshono namba zangu 0759750127

 15. Anonymous says:

  Naitwa Brightony Hb Jr.
  ( Hoza Bendera )
  Nna Umri Wa Miaka 20 Napenda Sana Nampaka Now Bdo Sijapata Cheans Ila2 Nipo Na Kitabu Ambacho Kinanielekeza Jins Ya Kuwa Moddo Nahitaji Msaada Wako

  0629107091

  0676849202

  0673482023

 16. Rammory Ibrahim says:

  Naitwa Rammory Napenda Sana Kua Modo Cz Ndo Talent Yang Naombeni Msaada Wenu
  Nna Umri Was Miaka 19 I Hope Ombi Lang Litapewa, Kipaumbele mbele Zenu
  MUNGU Awe Pamoja

 17. elizabeth augustine says:

  npo mwanza napenda kaz ya umodo

 18. Kwa jina naitwa hancy:jackson says:

  napenda kuanza nakusema mimi kijana mwenye umli wa miaka 20 napenda kuwa mwana mitindo na nina vigezo vyote nipo vzur kwenye talent hii naiman mtanitafuta naishi dar,bugulun eeh mwenyez mungu nisaidie

 19. Rahma says:

  naitwa samia niliishia kidato cha tatu sikupata msaada kuniendelezea na eli nina miaka kumi na tisa napenda kuwa modo nina vigezo vyote naombeni msaada wenu

 20. Hezron Sylvester says:

  Naitwa Hezron Sylvester ni mhitimu wa kidato cha nne nahitaji kuwa modo naombeni msaada wenu tafadhali

 21. ISABELLA kATUNZI says:

  Kwa jina naitwa Isabella, ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina elimu ya kidato cha nne na ngazi ya cheti katika fani ya uhazili na kompyuta katoka chuo cha ufundi VETA. Ndoto yangu ni siku moja kuja kuwa mwanamitindo mkubwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania na ni kitu nilichokuwa ninakipenda tokea nikiwa mdogo na watu wengi huwa wananishauri kufanya uanamitindo, niliwahi kujaribu mara moja tu wakati nasoma VETA na hivi sasa nimemaliza na nimeona ni muda muafaka kwa mimi kuanza kutimiza ndoto yangu ya kuwa mwanamitindo ila sijajua nianzie wapi ili niweze kufanikisha lengo langu ndio maana nimeamua kuwaandikia hivi ili kama kuna uwezekano wa kunisaidia au kunishauri kwa namna moja au nyingine. Nitafurahi endapo mtaweza kunisaidia au kunishauri cha kufanya.

 22. Napenda kuwa modo na nina umbo zuri na mawazo mazuri ya mavazi, nahitaj msaada wenu kwani ni kipaji changu,0714102332

 23. I think this is often an informative post and it really is knowledgeable and quite valuable. I’d prefer to thank you for your efforts you have got created in writing this short article.

 24. Medy says:

  Naitwa Medy natamani kuamodo na nahisi naweza lakini cijui nitaanziawapi naomba mnixaidie…

  0652436456

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: