Wamkumbaka “Baunsa” huyu?

Dullah baada ya kupasha mwili.

Dullah baada ya kupasha mwili.

Kwa wapenzi waburudani wanamkumbuka Dulla au Abdallah Herry kama anavojulikana. Kwa sasa Abdallah anafanya kazi zake huko Abu Dhabi akiwa ameajiri wa kama Gym and Aerobic Instructor katika kampuni kubwa ya mazoezi ya Wadosiaila lakini Abdallah anasema kuwa amepata kazi nyingine ya Etihadairways akiwa na jukumu la kuwatrain wafanyakazi wa ndege ili wawe fit.

Kabla ya kuondoka Dullah aliwahi kufanya kazi na kampuni ya Clouds Entertainment enzi za disko la Tazara na kwenye matamasha tofauti katika jiji la Kandoro. By the way Dullah ni classmate wangu High School, Spoti na Starehe inakupa shavu mkuu.

n1123060874_30176111_6303Dulla akiwa na wanafunzi wake kabla ya kuanza mazoezi ya Aerobics

Maisha baada ya kazi

Maisha baada ya kazi

Advertisements

6 Responses to Wamkumbaka “Baunsa” huyu?

 1. suleyman k says:

  Duh huyu jamaa namjua vizuri sana. Dullah kakulia Kinondoni, huyu jamaa si mchezo kaka….. nakumbuka kipindi nipo mdogo nilikuwa namuona akija home . big up kaka kaza buti(Hamis Star)

  • Anonymous says:

   Hi,
   Mimi mwenyewe namjua vizuri sana Baunsa wangu
   Dulla, mimi nimepiganae kazi pale Tazara miaka
   hiyo, sasa hivi mimi nachapa kazi WELL FITNESS
   MBEZI.
   Well tutazidi kuwasiliana
   Asanteh,

   `CYBORG`James K Mwamakula,

 2. Quite great blog and superb and content articles.useful design and style, as share great stuff with fantastic tips and concepts.

 3. I definitely get pleasure from each minor little bit of it and I’ve you bookmarked to test out new things of your website a will have to go through website!

 4. Currently it sounds like BlogEngine is the preferred blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

 5. Appreciating the dedication you put into your blog and in depth information you present. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed information. Great read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: