Kilimanjaro Connection

Bango la Kilimanjaro Connection

Bango la Kilimanjaro Connection

Bendi ya Kilimanjaro Connection ipo jijini Kuala Lumpur Malaysia kwa ajili ya kutoa burudani, Kilimanjaro Connection watakuwa wakipiga Club ya Rum Jungle kuanzia jumatano hadi jumapili.

Katika show ya jana Viajana hawa wamezikongonga nyoyo za mashabiki wa burudani na kufanya ukumbi kujaa hakuna hata pakuweka mguu.

Wakiwa wanapiga nyimbo zao maarufu na zingine copy toka Ngwasuma hadi ABBA group jamaa wamekamilika kinoma na kufanya usiku kuwa mfupi. PAmoja na kiingilio kuwa kikubwa (50 Rm kwa mtu) sawa na Tsh. 15,000/= na kwa mujibu wa meneja wa Club hiyo anasema walijaribu ku adjust kiingilio ili angalao ku control watu lakini kila siku wanazopiga watu wanajaa na kwa sasa wataongeza maonyesho na kupumzika mara moja tu kwa wiki siku ya Alhamisi. Kwa zaidi ya miaka 10 bendi hii imekuwa ikitoa burudani jijini Kuala Lumpur na show zake kupendwa na watu wote.

Haya wadau wa Malaysia kazi kwenu

The Kilimanjaro Connection wakiwa jukwaani.

The Kilimanjaro Connection wakiwa jukwaani.

Kankukely, Dr Kiiza and I

Wadau na Kankukelly kabla ya show kuanza

watu wamokazini

watu wamokazini

Mdau akiwa na mmoja wa waimbaji na wacheza show wa Kilimanjaro Connection BAnd

Mdau akiwa na mmoja wa waimbaji na wacheza show wa Kilimanjaro Connection BAnd

Jamani dada anacheza huyu wamalay wote hoi

Jamani dada anacheza huyu wamalay wote hoi

Advertisements

6 Responses to Kilimanjaro Connection

 1. Ntilla says:

  Duh Malaysia nchi ya Kiislam inakuwaje hii mzee?
  au mi nimekosea kaka?

 2. Nzambi says:

  Mzee mbona wamekuja wakati sie tuko mbali au mmepanga mtu wangu?
  Nimemuona kaka kwa mbaali hihihihihi sawa ntese tuu
  Naingia tarehe 16 watakuwepo bado?

 3. piusmickys says:

  ahhahaha ndugu yangu wewe tuu

 4. Mwemtsi says:

  Hapa na mi mnanichanganya kwani najua mkuu MAlaysia ni nchi ya Kiislamu inakuwaje hii kuna raha za hivi na huyu dada akavaa hivyo au malaysia ipi hii kaka?
  Ila mzee Kanku Kelly hazeeki huyu bwana mi nimemsikia tangu nasoma Tambaza hadi sasa bado tuu. Kila la heri mkuu ila nijibu na mimi Malaysia hii ya Indonesia?

 5. Anonymous says:

  Njoo huku ndio utajua kama hii ni nchi ya kiislamu ama lah,
  Kuna club zaidi ya 50 na zote zinajaa kuanzia ijumaa hadi jumapili uliza uambiwe.

 6. I am really enjoying the theme/design of your website. Do you ever run into any internet browser compatibility problems? A small number of my blog audience have complained about my website not working correctly in Explorer but looks great in Opera. Do you have any advice to help fix this problem?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: