Kanoute apigwa fine kwa Tshirt ya Palestina

.

.

Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu la Spanish la Spanish Football Federation (RFEF) limemhukumu mchezaji Frederic Kanoute kulipa fine kwa kitendo chake cha kuvua jezi na kuonyesha fulana yenye maneno ya kulaani mauaji PAlestine katika mchezo wao na Deportivo La Coruna baada ya kushinda goli la pili.

Ingawa taarifa ya Shirikisho hilo haikusema kiwango cha Fine lakini habari zinasema kuwa Faini hiyo ni dola 4,000 za kimarekani. Wakiongelea adhabu hiyo mashabiki wamesema kuwa fulana ile haikuandikwa kingine bali ni neno Palestina kwa lugha mbalimbali na hilo halistahili adhabu hiyo, Ikumbukwe Kanoute ni Muislam aliyezaliwa Ufaransa mwenye uraia wa Mali.

7 Responses to Kanoute apigwa fine kwa Tshirt ya Palestina

 1. EDWIN NDAKI says:

  kafanya kitendo kizuri..nipo upande wake..we must rise voice and say “stop killing civilian in palestina

 2. kamugisha says:

  Mi nafikiri angeandika “Let us pray for them”so that they can reach a parmanent renconciliatin insteadyof doing that he did.wa nje tuwe newtrol.

 3. kamugisha says:

  Mi nafikiri angeandika “Let us pray for them”so that they can reach a parmanent renconciliation insteadyof doing that he did.wa nje tuwe newtrol.

 4. Paul Kabewa says:

  imekula kwake

 5. SOUD HINCHA says:

  MUNGU AMBARIKI KWA KUONESHA HASIRA ZAKE KWA MAKAFIRI WANAONYANYASA BINADAMU WENZAO TENA BILA HATA HURUMA

 6. Anonymous says:

  Angeandika the end of crimes

 7. Anonymous says:

  ARSENAL.FC.PATO.PHOTO

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: