Ofisa wa Kamati ya Kombe la dunia A.Kusini 2010 auwawa kwa Risasi

jimmy mohlala

jimmy mohlala

Ofisa muandamizi wa kamati ya waandalizi wa Michuano ya Kombe la Dunia Afrika ya Kusini 2010 bwana jimmy mohlala amefariki dunia baada ya kupigwa risasi hapo jana jumapili.

Jimmy ambaye alikuwa Spika wa Mpumalanga’s Mbombela Manispaa moja nchini ya Afrika kusini pia alikuwa ofisa wa ngazi za juu ambaye alionyesha kukomalia ubadhirifu kwenye matumizi ya pesa kwenye ujenzi wa uwanja moja ya viwanja jambo ambalo liliwaudhi baadhi ya watu kwenye kamati hizo na kulikuwepo na matukio ya kurushiana na kulaumiana kwenye vyombo vya habari kuhusiana na shutuma hizi. HAbari zinasema kuwa marehemu aliuwawa na mtu huyo asiyejulikana baada katika kitongoji ya mji wa Nelspruit, the Mbombela huko Kaskazini mwa Afrika Kusini.

Akithibitisha habari hizo mtoto wa marehemu alisema marehemu baba yake alipigwa risasi na watu wawili waliokuwa wamefunika nyuso zao nje ya nyumba yao na yeye kujeruhiwa kwa risasi kabla ya watu hao kukimbia.

Marehemu Mohlala aliwahikuwa ni Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Africa ya kusini.

Advertisements

5 Responses to Ofisa wa Kamati ya Kombe la dunia A.Kusini 2010 auwawa kwa Risasi

 1. Kombe says:

  […] Ofisa wa Kamati ya Kombe la dunia A.Kusini 2010 auwawa kwa Risasi … No tags for this post. […]

 2. After I thought about matters like: why this kind of details is free of charge right here? After you write a guide then not less than on marketing a guide you get a percentage, mainly because. Thank you and great luck on informing individuals much more about this.

 3. california separation agreement Form

  Ofisa wa Kamati ya Kombe la dunia A.Kusini 2010 auwawa kwa Risasi | Spoti na Starehe

 4. http://www.naszepanstwo.pl

  Ofisa wa Kamati ya Kombe la dunia A.Kusini 2010 auwawa kwa Risasi | Spoti na Starehe

 5. trailer connectors

  Ofisa wa Kamati ya Kombe la dunia A.Kusini 2010 auwawa kwa Risasi | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: