Heri ya Christmas na Mwaka Mpya 2009

xmas“Nachukua nafasi hii kuwatakia wasomaji wapenzi Heri na Fanaka ya Christmas na Mwaka Mpya wenye amani. Wito wangu kwa kila mmoja wetu hiki ni kipindi cha kufikiriria mwaka umepita na kuyachambua malengo yako ya mwaka huu 2008 na ni kipindi cha kuweka malengo mapya ya mwaka 2009 na kukazania kuyafikia malengo hayo kwa njia iliyo halali”.

Pius Pius-Kuala Lumpur

Malaysia

2 Responses to Heri ya Christmas na Mwaka Mpya 2009

  1. DIDAS TOM OKWEMBA says:

    Watanzania wote walioko ndani na nje ya nchi nawatakia heri ya mwaka mpya.2009 utuletee heri na mafanikio na pale hatukufaulu mwaka uliotangulia tuweze kushinda. Hatimaye vita dhidi ya yushwa viimarishwe zaidi huku tukiongeza bidii katika shighuli za kilimo kwani ndiyo njia ya kujinasua kutoka na janga la njaa.

  2. rachel says:

    is this baba shelton its urgent get back to me plz

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: