Miss East Africa, Burundi yang’ara

December 21, 2008

Mshindi wa pili Annete Mwakaguo (kushoto) Miss East Africa, Claudio Nuyimana (katikati) na mshindi wa tatu, Anais Veerapatren katika shindano liliofanyika jijini Bujumbura juzi, kwa habari zaidi katika picha shuka chini.

Miss East Africa, Claudia Nuyimana akivishwa taji mara baada ya kutangazwa mshindi wa shindano lililofanyika juzi jijini Bujumbura. Picha kwa hisani ya mzee wa Full Shangwe


%d bloggers like this: